Redondo nae asaini simba

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Kiungo Ramadhan Suleiman Chombo ‘Redondo’ leo amesajiliwa Simba SC, akitokea Azam FC katika mkataba ambao bado haujaeleweka, lakini habari za uhakika kutoka kwa Wekundu hao wa Msimbazi zimeithibitishia BIN ZUBEIRY hivyo. Kiungo huyo aliyejiunga na Azam mwaka 2009, akitokea Simba anakuwa mchezaji wa pili ndani ya kipindi kisichozidi siku tano kutua Msimbazi, akitokea Azam, baada ya Jumatano iliyopita, Mrisho Ngassa pia kusajiliwa na timu hiyo akitokea Chamazil. BIN ZUBEIRY bado inafuatilia kwa kina kujua aina ya mkataba ambao Redoindo wa Keko Magurumbasi amesaini na Simba.
 
Tayari Jamaa kwenye Facebook page yao wameshakanusha,huu ni uhuniuhuni usio na sababu yeyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom