Redio One Kipindi Cha Magazeti Kilasiku

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Jamani ninashauku ya kujua katika kipindi cha magazetini asubuhi Redio One, kwa mfano kama kila inapofika siku ya Jumatano watatusomea vichwa vya habari karibuni yote kasoro magazeti ya Udaku, lakini shauku yangu ni kua mbona huwa gazeti la Mwanahalisi huwa hawana habari nalo lakini Raia Mwema wanalo! Kulikoni kuna sababu zozote la kutokulishirikisha gazeti hili la Mawanahalisi? Nawasilisha.
 
hata wasipotusomea sisi tunalinunua mwanahalisi tena zaidi ya lile la kwao la nipashe.:lol:
 
Kwa taarifa yako serikali ya jk imepiga marufuku gazeti la Mwanahalisi katika magazeti yote yanayonunuliwa kwa hela za ofisi na baadhi ya Blogs ikiwemo ya Millard Ayo na Mjengwa zilikuwa zunaweka japo picha ya frontpage nazo wamekatazwa. Nina uhakika na kwa upande wa IPP nao wamepigwa biti kama ilivyo kwa vyombo vingine vingi vya habari!

Adioooos!!!!!
 
Back
Top Bottom