Red Brigade na Green Guard Sombetini Arusha wapigana mbaya

aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
189
Leo wagombea wa vyama vitatu ccm chadema na cuf walirudisha form za kugombea udiwani kata ya Sombetini Arusha

Jambo lililoshangaza na kusikitisha nipale pikapu ya chadema ilipofunga njia ili maaandamano ya ccm yasipite jambo hilo lilikasirisha greeng gard walishuka nakuanza kuzozana nawenzao wa chadema

Baada ya muda gari iliyo funga bara bara ilivunjwa kiooo na watu kupigwa na baadae waliondoka kwa pamoja

Nawashauri tuuu leo kwa amani na upendo ccm na chadema uchaguzi wakata usiharibu maisha yetu na mali zetu tuuzesera zetu kwa amani tutaeleweka tuuu jamani
 
Siasa sio ugomvi! Pia tunaomba uweke picha ya tukio hilo la kurudisha fomu kwa wagombea wa vyama vyote!
 
Kwa navojua siasa za arusha,polic wanatakiw kuwa makini sn,na wasiwe bias vngnevo machafuko yatatamalaki,yeyot akikanyaga katba sheria ichukue mkondo bila kujali ni magamba ama gwanda!
 
hapo tatizo ni chadema wala ccm ni hulka ya vijana wengi wa arusha bang ujuaji na hasira.poleni wanasiasa makanjanja wa sombetini
 
Leo wagombea wa vyama vitatu ccm chadema na cuf walirudisha form za kugombea udiwani kata ya Sombetini Arusha

Jambo lililoshangaza na kusikitisha nipale pikapu ya chadema ilipofunga njia ili maaandamano ya ccm yasipite jambo hilo lilikasirisha greeng gard walishuka nakuanza kuzozana nawenzao wa chadema

Baada ya muda gari iliyo funga bara bara ilivunjwa kiooo na watu kupigwa na baadae waliondoka kwa pamoja

Nawashauri tuuu leo kwa amani na upendo ccm na chadema uchaguzi wakata usiharibu maisha yetu na mali zetu tuuzesera zetu kwa amani tutaeleweka tuuu jamani
Chadema ni wakorofi wa kutupa hili lichama kwakweli lifutwe kabisa ,,msajili upoo.?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom