Recuitment agent

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
hawa maagent nawasikia sana ila sina idea nao sana hebu nifafanulieni kidogo maana nasikia wanaweza kukusaidia kupata kazi ila utawalipa je nikweli habari hizo nijuzeni jamani
 
Be specific please!!! Ma-agent gani haswa unawaongelea au unataka kujulishwa habari zao?
 
Kuna jamaa wanaitwa erolink...wapo morocco,hawa wanasupply wafanyakazi kwa waajiri na kukubaliana malipo...so pesa wanalipwa wao afu wao ndo wanakulipa ww mshahara. Mfano wamekubaliana kuwa kwa mwezi watalipwa laki 7 kwa mtu mmoja, ww unawezalipwa laki 4(ni mfno tu).
 
Huyu bwana ameulizia Recruitment Agent/s. Nikamwambia kuna Erolink. Lkn pia nikaweka hyo link coz watu washawahi kuzungumzia hzo mambo. So kupitia posts za wadau anaweza kupata mwanga zaidi...sasa nani kapuruka.
Ahsantum.
mdau mbona kama umekurupuka? hiyo link inaongelea vitu vingine, hebu soma mada vizuri
 
mkuu jibu la kwanza wala sina mashaka nalo, ila pale ulipotoa jibu lingine na kusema hii mada imeshadadavuliwa humu jamvini kitu ambacho si kweli!
 
Nawashukuru kwamchango wenu maana kunamtu aliwahi kuniambia kuwa nijaribu kutafuta kazi kupitia hawa agents na akaniambia hawa wakikuunganisha ukapata kazi wata kuwa wanakukata asilimia 30 ya mshahara kwa miezi minne hadi mitano tu kwa hiyo nikaona nililete kwenu wanajamvi penye jungu kubwa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom