Rectocvaginal Examination

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Its healthy lakini hii huduma hata kwa pesa sifanyi!!

 
Last edited by a moderator:
Its healthy lakini hii huduma hata kwa pesa sifanyi!!



Lakini nadhani inafanyika kwa wagonjwa si kwa wenye hela. ukiumwa na ikihitajika utafanyiwa ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Ni haki ya kila mwanamama kufanyiwa uchunguzi wa kutosha ili magonjwa kama kansa yaibuliwe mapema.
 
Hapa kuna haja ya kufikiria tena hali halisi hapa nchini kuhusu ni akina nani waifanye kazi hii yaani akina baba au akina mama?
 
Am proud 2 be aDR my lovely profesional, i real enjoy my life stress only during studies bt in practice very nice, u wont be 2 rich or 2 poor just standard life.
 
Back
Top Bottom