baada ya mwaka kuisha unalipia bei gani? halafu mbona hujiamin? k/koo kubwa.
Funguka mkuu kama upo kibiashara. au nyie ndo wa pale maeneo ya gerezani?
tupo kariakoo: malipo ni sh.500000/= inakua imeshalipiwa mwaka mzima
Tupo mtaa wa agrey unalipa 176000 kwa mwaka
Hujajitambua wewe, hebu nenda kalale then njoo kesho asubuhi akili yako ikiwa imetulia.
Tupo mtaa wa agrey unalipa 176000 kwa mwaka
tupo kariakoo: malipo ni sh.500000/= inakua imeshalipiwa mwaka mzima