BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
hahahah,KUNA WALOJIAJIRI MDAU,WAUZA SAMAK,MITUMBA,MAFUNDI,etc
Hapo sawa, kazi kama kawa kwa waliojiajiri..bado nimeajiriwa mie, huu mpira naomba ufike saa 7 hivi halafu kulala weee!!
hahahah,KUNA WALOJIAJIRI MDAU,WAUZA SAMAK,MITUMBA,MAFUNDI,etc
Dakika 15 za muda wa nyongeza zimekwisha...
hawa jamaa ndo wanatup0tezea muda hvihvi
Hapo sawa, kazi kama kawa kwa waliojiajiri..bado nimeajiriwa mie, huu mpira naomba ufike saa 7 hivi halafu kulala weee!!
kuna bot ya bure kwenda mchambawima
Naona Mourinho anakuwa kibabu sasa.....lol!
hahahahahahah,unanchekesha xana,endapo nyumba unayoish HAINA VURUGU,
Usisinzie mkuu watakuibia bure hapo kibanda umiza.
Kocha wa Real mbona ka amezeeka vile..maana kichwa full snow au macho yangu)
kuna dalili ya matuta hapa!