Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

I watched the game last night aseee kaa hivi ndo tunacheza aseee tlikuwa very weak. Kama vile tulikuwa ugenini. Nilifikiri kwenye robo au nusu fainali tupewe cityzens tumalizane nao ila napata wasi wasi mkubwa.
Hapa nimegundua vitu kadhaaa.
1. Spanish la liga tunaitaka sana tena sana.
2. Ucl title tunaitaka sana.
Mapendekezo na mawazo yangu:
1. Rotation ifanyike vizuri japo majeruhi yaliopo rotation ikifanyika kuna wachezaji wapo fit ila hawana uzoefu wa kutosha kutupatia ubingwa.
2. Tu drop one of these major silverware kama si la liga basi Ucl otherwise tunaweza kosa vyote au kwa mbinde mno.
3. Alfonso davies na mbape tunawahitaji mno msimu ujao. Mapema sana.
 
mendy jana kapwaya sana kocha pia sikuelewa kwanin alifanya Sub ya Camavinga alivyotoka tu timu ilipotea sana timu ilikuja kutulia Baada ya kuingia luka Modric ila wale watoto kipindi cha kwanza jana wangekua serious sana Real madrid safari ilikua imevia maana openda kakosa sana magoli ya wazi
 
SUb ilitakiwa kufanyika ili mbele kuengezwe nguvu, Ila sambamba na Vinga pia Jude alitakiwa kutoka mapema tu ili modric awahi kuingia
 
1710089634657.png
 
Back
Top Bottom