Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kilichofanyika, Refa hakumaliza mpira kwa kuangalia stop watch, kulikuwa na presha kutoka jukwaani mashabiki wakitaka amalize. Hata beki za Valencia wakaliona goli linakuja wakaanza kumpigia kelele.
VAR checking ilichukua takriban dakika 3 au 4, Real Madrid bado walikuwa na muda wa kumaliza shambulizi.
 
Kwanini mechi za Valencia na Real Madrid zina tension sana? PAGAN

Kwasababu Spain kuna Madridistas na AntiMadrid. Madridistas ni Real Madrid, AntiMadrid ni wale wanaoichukia Real Madrid na mafanikio yake. Hii chuki sio ya kimichezo tu, ni deep kabisa kutoka moyoni.
AntiMadrid includes all other giants in la liga, Atletico, Barca, Valencia, na wengine.
Ndio maana unaona Valencia hawauzi wachezaji to Real hata kwa mbinde. Bora wamwache aende Barca hata kwa pesa kidogo.
Sijui kama nimeelezea vyema, lakini inaonekana kabisa, kuifunga Real Madrid ndio target ya Valencia kila msimu na wala sio kubeba kombe.
 
Umesomeka comrade
 
Jude ameonyesha maturity ya hali ya juu
1709477621511.jpg
1709477627794.jpg
 
Kwasababu Spain kuna Madridistas na AntiMadrid. Madridistas ni Real Madrid, AntiMadrid ni wale wanaoichukia Real Madrid na mafanikio yake. Hii chuki sio ya kimichezo tu, ni deep kabisa kutoka moyoni.
AntiMadrid includes all other giants in la liga, Atletico, Barca, Valencia, na wengine.
Ndio maana unaona Valencia hawauzi wachezaji to Real hata kwa mbinde. Bora wamwache aende Barca hata kwa pesa kidogo.
Sijui kama nimeelezea vyema, lakini inaonekana kabisa, kuifunga Real Madrid ndio target ya Valencia kila msimu na wala sio kubeba kombe.
Naongezea tuu kwamba hata kepa wakati anauzwa toka BILIBAO kwenda CHELSEA ndo nikaona kwamba clubs nyingi za spain hasa giants wengi ni antimadrid. Buyout clause ilifutwa usiku wa manane ili kepa auzwe chelsea asiende madrid.
 
Wapo wengi tu kama David Villa na Jordi Alba. Walitakiwa waende Real lakini kulikuwa na zengwe lilipigwa na Valencia, Bilbao na Barcelona mpaka wakaishia kwenda Catalonia.
Real walimpata Isco kwa vile katokea Andalucia
 
Back
Top Bottom