Reactivation of love

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Kuna wakati unahisi kabisa kila kitu ki baridi katika mahusiano yenu wewe na sweet wako.Unahisi kabisa kwamba mambo hayako kama yanavyotakiwa yawe.Licha ya kugundua mwenzako kukosa ule mshawasha na hamu na wewe,lakini pia hata wewe unahisi hauna hisia kama ilivyokuwa hapo mwanzo.Lakini pia hakuna bifu yoyote kati yenu,na hata mnapokuwa mnafanya mapenzi,unasense kabisa ni kama mnajilazimisha.
Hivi unashauriwa kufanya nini ili kurudisha mshawasha na hisia za mapenzi katika mahusiano yetu na maasali wetu wa mioyo.
 
Badilisheni mazingira na mastaili.
Mama pia anaweza kuandaa surprise ya misosi ambayo ni favorite ya mumewe.
Lakini pia hata zawadi ndogondogo tu inaweza kubadilisha upepo.
Mapenzi ni lazima yagharamiwe kiasi bana, japo si kwa fedha kila wakati.
 
Kubadilisha mazingira,I can buy.lakini unajua kadri unavyokua ndivyo majukumu yanaongezeka.Simaanishi tuweke mapenzi pembeni,la asha ila najaribu kuonesha ugumu unaokuwepo wa kuyapa mapenzi muda hasa kama wewe ndo kila kitu katika familia,si unazijua familia zetu za kiafrika.
 
Back
Top Bottom