Re wachaga

kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
56
Bwana asifi
jamni leo najito kimasomaso kila mara huwa naona humu wanongelewa wachaga lakini sijawahi kusoma na mimi napendana na binti wa kichaga na nampango wakumuoa kabisa sasa hebu nijuzeni nini hasa ubaya wao nauzuri wao nataka jua nimekaa na mpenzi wangu sijaona kitu kibaya na kizuri zaid nilchokiona ni Inkonomi sana mwanzo tulikuwa tukienda kula sehm kubwa baadae ikawa hataki twende huko natunaenda sehem za kawida na beirahisi kanifundisha kuwa mchumi na sio mkubwa mpaka vile bado msijana mdogo ndo kwanza ana22 naomba ukweli japokuwa kutakuwa na wasi kwa bazi ya watu lakini haitokuwa sababu ya kutomuoa vidole havipo sawa
 
Sasa weweeeee....so far hujaona ubaya...umesema chochote kitakachosemwa hakitabadili uamuzi wako..sasa chochoko ya nini???Yeye ndiye unayemtaka...hajaonyesha tabia mbaya sasa tabia ya kabila collectively unataka kuipeleka wapi??Mchunguze yeye achana na maneno ya kuambiwa!!!

Na kwa kumalizia.....kama ulishaona yakiongelewa hapa umeona umuhimu gani wa kuanzisha thread nyingine????Umeshindwa nini kuzitafuta upitie???:twitch:
 
Ndugu Kasopa.
nakushukuru kwa kuleta hoja hapa kwenye jamvi. kwa ufupi ulivyoeleza inaonekana mchumba wako hataki mambo makubwa yeye anataka mu-save fedha ili muweze kutengeneza maisha mazuri ndo maana hataki mwende sehemu za bei ya juu. ni wasichana wachache watakaokuwa na msiamamo huo.

mimi nina uncle zangu wameoa wachaga, kiujumla naona wameendeleza maisha vizuri kwa sababu wake zao ni wachakarikaji sana wanajua kuvumbua miradi ya kutafuta fedha,

binafsi huwa siangaliii kabila bali naangalia tabia ya mtu. kwa hiyo kama umempenda na ameonyesha tabia nzuri nakushauri muendelee vizuri na naamini anaweza kukufaa katika maisha yako. La muhimu kushinda yote ndugu Kasopa ni kuhakikisha KUNA upendo wa KWELI na si usanii!!..
ubarikiwe katika kuendelea kumpenda mchumba wako. Inshallah Mungu atawezesha muweze kuishi maisha mema
 
Lakini umekuwaje senior member wakati kwenye vocabulary zako hamna nukta mkato wala nini.
 
amekwambia vidole havikosawa mungu kamuumba hivyo usimnyanyapae ILA ANGETAKIWA KUSEMA UBONGO HAUKO SAWA MANAKE KAMA USHAURI WETU HUUTOBADILI NIA YAKE YA NINI KUUOMBA?
 
SWALI LA KWANZA KABLA KABLA YA USHAURI.....Ushauri tutakaotoa utaathiri maamuzi unayotaka chukua?
 
best hujawajua wachaga vizuri!! unaona kama unakufanya uwe mchumi mwenzio ana lake kichwani, ni bora ukatumia hekima zaidi juu ya jambo hili!! kuwa makini kakaaaaaaaaaaa i know them very well yooooooo
 
Welcome to Kilimanjaro the Roof of Africa besides the Geneva of Africa where you can meet with admirable tribe called Chagas.Welcome to the Kingdom so called U.S.C(United States of Chagas) where you can meet the peoples from Democratic Republic of Rombos,peoples from Marangu City,K.V London,Old Moshi the Museum states of Chagas,Uru a.k.a Russian Federation,then moved to the Jews State of Kibosho before finish your journey to Gazza Strip (Palestine of machame).Kilimanjaro also is the home of fine beer together with our traditional brew called Mbege.When you reach here enjoy yourself but be carefull at your own risks.
 
Lizzy nashukuru kwa bumbazako
Sasa weweeeee....so far hujaona ubaya...umesema chochote kitakachosemwa hakitabadili uamuzi wako..sasa chochoko ya nini???Yeye ndiye unayemtaka...hajaonyesha tabia mbaya sasa tabia ya kabila collectively unataka kuipeleka wapi??Mchunguze yeye achana na maneno ya kuambiwa!!!

Na kwa kumalizia.....kama ulishaona yakiongelewa hapa umeona umuhimu gani wa kuanzisha thread nyingine????Umeshindwa nini kuzitafuta upitie???:twitch:
 
Kanyagio
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako

nakushukuru kwa kuleta hoja hapa kwenye jamvi. kwa ufupi ulivyoeleza inaonekana mchumba wako hataki mambo makubwa yeye anataka mu-save fedha ili muweze kutengeneza maisha mazuri ndo maana hataki mwende sehemu za bei ya juu. ni wasichana wachache watakaokuwa na msiamamo huo.

mimi nina uncle zangu wameoa wachaga, kiujumla naona wameendeleza maisha vizuri kwa sababu wake zao ni wachakarikaji sana wanajua kuvumbua miradi ya kutafuta fedha,

binafsi huwa siangaliii kabila bali naangalia tabia ya mtu. kwa hiyo kama umempenda na ameonyesha tabia nzuri nakushauri muendelee vizuri na naamini anaweza kukufaa katika maisha yako. La muhimu kushinda yote ndugu Kasopa ni kuhakikisha KUNA upendo wa KWELI na si usanii!!..
ubarikiwe katika kuendelea kumpenda mchumba wako. Inshallah Mungu atawezesha muweze kuishi maisha mema[/QUOTE]
 
Mfamaji kila mtu anauwezo wake hiyo haijalishi sana muhim umeelewa nilishokusudia mkuu hongera kwaupeo wako ubarikiwe

Lakini umekuwaje senior member wakati kwenye vocabulary zako hamna nukta mkato wala nini.
 
best hujawajua wachaga vizuri!! unaona kama unakufanya uwe mchumi mwenzio ana lake kichwani, ni bora ukatumia hekima zaidi juu ya jambo hili!! kuwa makini kakaaaaaaaaaaa i know them very well yooooooo

Susy kweli siwajui ndomaana nikauliza nijuze
 
Mkuu wewe letahabari usisite swala la kubadili halipo natakajua ili niweke ngome kama itatokea kokolo

Back
Top Bottom