Elections 2010 Re: Kura za Waliotafunwa pesa za DECI zielekezeni CHADEMA

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili tarehe 31. Mgombea mmoja tu kazungumzia na kuahidi kulitatua tatizo hili katika muda wa siku 100 akiingia madarakani.Huyu ni Dr. wa ukweli Dr. SLAA. Tumpe kura zetu zote jamani . Hizo pesa zetu ndio zinatumiwa na MAFISADI sasa kuturarua rarua sasa tusikubali tena. Jamani wana DECI mpooooo, amkeni sasa. Sasa ni CHADEMA tuuuu.
 
wewe vipi bana!!!
si wameshakwambia ule mchezo ulikuwa haramu, na dawa ya mali haramu ni kutaifisha tu!!
 
Back
Top Bottom