Re- Jamaa huyu hakusahaulika hata alipotoka madarakani

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Hakusahaulikwa kwani ndiye aliyetoa ahadi nyingi za ukwel kuliko kiongozi yeyote aliyepita, aliwashawishi akina female kuwa ni handsome wakampa kura za ndiyo, aliwakemea washikaji zake wasitumie nafasi zao au ushikaji kufisadi, alichora ramani ya dunia kwa kuizunguka kuliko hata international cartographers, hakukubali mali yoyote ya nchi yake iende nje ya nchi (wanyama, magogo, samaki, udongo wa dhahabu..dhahabu yenyewe usiisemee kwani ni siri ya serkl na invester), alinunua mandege makubwa.., akanunua meli za kutosha, barabara na reli zikatengamaa. Alipokuja na mkakati wa dhararua wa mgawo wa giza, nilisema mzee umefanya ya kutosha bora na wewe upumuzike wengine wajaribu kuokoa jahazi ili kwa heshima yako usije jeruhiwa na wale wanao ona ukweli wako hata kama wanatumia miwani ya giza. Wana jf mpo hapo? Kiongoz km huyu kwel atasahaulika? We utamkumbuka kwa lipi?
 
Huyu atakuwa ndo yule, mtu akikufananisha nae lazima upigane. Kuwa kama yeye ni zaidi ya tusi la ch*p*ni.
 
Back
Top Bottom