RC Tanga: Serikali inataka kuwasaida watanzania wasitapeliwe

Kwani uongo..watu wananawiri mashavu huku mwenzao anaumia. Mungu ni mwema atamponya haraka
Ni kweli kama zile za bukoba watu wamejenga na kuongeza wake wakati binadamu wenzao hawana makazi, afu hatuhitaji maombi yenu ya kichawi wauwaji wakubwa nyie
 
Serikali yenyewe inalalamika inatapeliwa na wawekezaji kila siku huo ujanja wa kuwajali wananchi imeupata wapi?

Akifafanua leo kauli ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu juu ya matibabu ya Lissu nje ya nchi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella amewaomba wananachi kuepuka kutapeliwa na matapeli wanaochangisha fedha kwa kivuli cha Lissu kumbe zinakenda kuimarisha chama chao.

Chanzo: Clouds fm
 
Hahahahaha eti maombi ya kichawi. Nyie pelekeni ushahidi wa wauaji au muwaanike humu. Hizo assumptions za kipumbavu hazina nafasi. Hivi kwa akili ya kawaida tu kama kuna mpango kama huo ndio unaweza kufanywa kizembe namna hiyo?
Kwa akili ya kawaida tu umeambiwa watu Fulani idadi kadhaa wananifuatilia wiki ya tatu sasa na juzi nimewabamba kanisani unapotezea tu, mtu anapigwa lisasi hadharani nyumbani kwake eneo lenye polisi na ulinzi mzuri tu hao walinzi wa hapo na polisi wa jirani hawasikii gari linatoweka na hadi leo hawajapatikana wala gari lao kukamatwa pamoja na namba zake kujulikana, mnakataa kumpeleka nje siku ya tukio kisa hajafuata utaratibu wiki ya pili sasa mnasema mko tayari kumpeleka popote duniani endapo familia itaomba mkijua haijawahi kufanyika hivyo kwa viongozi halafu mnaongea unafiki eti mungu amjalie apone kama sio uchawi ninini? Hivi nyie duniani mtaishi milele? Hongereni kujitoa akili na ubinadamu lisu hakustahili anayoyapitia sasa nyie furahini tu.
 
Hamkujua Lissu anapendwa, tumezoea kutapeliwa wala usihofu Maana siyo fedha zako! Mungekuwa mumetoa hiyo fedha yenu ndipo mseme haya, mumeona hata $ zinachangwa; nyota ya mtu ni mtu anapendwa hampendwi basi pambaneni na hali zenu!!
 
Back
Top Bottom