RC Merck Sadik aache kujipendekeza mbele ya Rais, awataje viongozi wa upinzani wanaopinga sensa

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Huyu RC bila shaka alikuwa anajipendekeza mbele ya rais wakati JK anajiandikuisha sensa leo. alisema mbali na viongozi wachache wa dini ya Kiisilamu na waumini wengine wa dini hiyo wanaoeneza ushawishi kwamba Waisilamu wasikubali kuandikisha, pia kuna viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wenye heshima zao mbao pia wanaeneza ushawishi huo. Hawa hakuwataja.

Tunaomba awataje kwa majina viongozi wa siasa wanaofanya hivyo ama sivyo RC huyo aachane na kujipendekleza kwa Rais.

isitoshe RC huyo ametangaza waumini kadha wa dini ya Kiisilamu waliokamatwa kutokana na kushawishi wenzao wasijiandikishe, lakini swali kubwa ni kwa nini hadi sasa serikali haijamtia mbaroni Sheikh Ponda ambaye wazi wazi alikuwa akiwashawishi Waisilamu wasijiandikishe.

Serikali inamuogopa Ponda na kukimbilia kukamata vidagaa?
 
alisema ni chama ambacho kimekuwa na mtazamo wa udini kwa zaidi ya miaka 10!! na kama inavyojulikana alilenga kuwasema CUF lakini hakuweza kwa kuwa CUF ni sehemu ya serikali ya ?mapoinduzi Zanzibar. ingekuwa CDM wanahusika asingemung'unya maneno hata kidogo manake ingekuwa sehemu ya kujiongezea credit mbele ya JK. ungesikia anaongezewa nafasi nyingine kuwa mbunge wa kuteuliwa....!!!
 
Mh Merck Sadik sio tuu ni RC, bali ni shemeji wa JK. Hicho ndicho kigezo kilichotumika kuteuliwa kwake na Hana analolijua zaidi ya kubwabwaja kumfurahisha Dada na Shem. Vyeo vya kupeana Mkuu wa Mkoa & Mkuu wa Wilaya, havina tija ktk maendeleo ya nchi.
 
Hata mimi nimemwona kwenye taarifa ya habari ya saa moja channel ten.kimsingi ni kujaribu kuficha ukweli na kujipendekeza ili kufficha uhalisia jinsi serikali ivyokuwa ikiwatumia waislam kuweka matabaka kisiasa ili kuonyesha kuwa vyama vya upinzani ni vya udini.

Hili la udini hata yeye meck sadick alitakiwa kulikemea siku nyingi kabla ya kuonyesha athari.Kimsingi rais kikwete ndo wakulaumiwa kwa kuvunja katiba ambayo tangu miaka ya nyuma ilisisitiza kutotambua dini katika serikali ili kujenga umoja, mshikamano na upendo kwa jamii ya kitanzania.

Mi namfahamu meck sadick tangu alipokuwa tanga akiwa meya wa manispaa , aliivurunga tanga kiasi kikubwa wakati anataka awe mgombea ubunge wa jimbo la tanga mjini.Ni msumbufu, king'an'ganizi , na mnazi asiyekubali kushindwa hata kama suala halina mantinki.na salama yake ilifikiwa alipopewa ukuu wa mkoa ili kuondoa kadhaia kubwa katika jiji hilo la tanga.

Ni kilaza mkubwa.hapa hakuna viongozi wa upinzani aliyenyuma wa waislam, bali ndo akili ya pinda ya kwamba marc na madc wao watakuwa wateule wa kutetea ccm ili iendelee kutawala.hapo anafanya kazi ya propagada wakati hatakiwi kufanya hivyo.
 
Asipowataja kwa hiyari hao anaosema viongozi wazito wa vyama vyama vya siasa wanaogomesha sensa tutamlazimisha afanye hivyo.
 
Anaweweseka kulipa fadhila maana anajiona kama si kuwa shemeji angekuwa wapi leo???muda wao unaelekea kuisha kwa katiba mpya hakutakuwa na ushemeji wala kulipa fadhila!nyambafu zao
 
alisema ni chama ambacho kimekuwa na mtazamo wa udini kwa zaidi ya miaka 10!! na kama inavyojulikana alilenga kuwasema CUF lakini hakuweza kwa kuwa CUF ni sehemu ya serikali ya ?mapoinduzi Zanzibar. ingekuwa CDM wanahusika asingemung'unya maneno hata kidogo manake ingekuwa sehemu ya kujiongezea credit mbele ya JK. ungesikia anaongezewa nafasi nyingine kuwa mbunge wa kuteuliwa....!!!

kweli chadema ni chama cha kikristo, yaani mnatafuta kujiosha kupitia CUF watanzania wameishakitambua hicho chama kuwa ni cha kidini kinapokea maelekezo kutoka KANISANI.
 
Asipowataja kwa hiyari hao anaosema viongozi wazito wa vyama vyama vya siasa wanaogomesha sensa tutamlazimisha afanye hivyo.

Hata hivyo cuf si ndio walitembea nchi mzima na hao masheikh wanaopinga sensa.
 
Huyu RC bila shaka alikuwa anajipendekeza mbele ya rais wakati JK anajiandikuisha sensa leo. alisema mbali na viongozi wachache wa dini ya Kiisilamu na waumini wengine wa dini hiyo wanaoeneza ushawishi kwamba Waisilamu wasikubali kuandikisha, pia kuna viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wenye heshima zao mbao pia wanaeneza ushawishi huo. Hawa hakuwataja.

Tunaomba awataje kwa majina viongozi wa siasa wanaofanya hivyo ama sivyo RC huyo aachane na kujipendekleza kwa Rais.

isitoshe RC huyo ametangaza waumini kadha wa dini ya Kiisilamu waliokamatwa kutokana na kushawishi wenzao wasijiandikishe, lakini swali kubwa ni kwa nini hadi sasa serikali haijamtia mbaroni Sheikh Ponda ambaye wazi wazi alikuwa akiwashawishi Waisilamu wasijiandikishe.

Serikali inamuogopa Ponda na kukimbilia kukamata vidagaa?
mbona waliochoma makanisa kule Zanzibar walishakamatwa na huyu Ponda atakamatwa tu
 
Mh Merck Sadik sio tuu ni RC, bali ni shemeji wa JK. Hicho ndicho kigezo kilichotumika kuteuliwa kwake na Hana analolijua zaidi ya kubwabwaja kumfurahisha Dada na Shem. Vyeo vya kupeana Mkuu wa Mkoa & Mkuu wa Wilaya, havina tija ktk maendeleo ya nchi.

hivi kuhesabiwa kwa Rais nzo ni news ! ambapo mkuu wa mkoa naye lazima awepo? wabongo hatuna kazi?
 
Mh Merck Sadik sio tuu ni RC, bali ni shemeji wa JK. Hicho ndicho kigezo kilichotumika kuteuliwa kwake na Hana analolijua zaidi ya kubwabwaja kumfurahisha Dada na Shem. Vyeo vya kupeana Mkuu wa Mkoa & Mkuu wa Wilaya, havina tija ktk maendeleo ya nchi.

Kweli kabisa ,Huyu jamaa ameharibu sana alipokuwa Lindi ...wengi walijua atatemwa ila ndio akampa big city...
 
Lawama zako zipo too general eleza wazi ni kanisa gani hilo tz kuna madhehebu ya kikristo zaidi ya 400
kweli chadema ni chama cha kikristo, yaani mnatafuta kujiosha kupitia CUF watanzania wameishakitambua hicho chama kuwa ni cha kidini kinapokea maelekezo kutoka KANISANI.
 
Kikwete anaogopa kuteua watu wenye uwezo ili wasimfunuke, amgalia akina Makamba, Nape, Mkama, Lukuvi, Pinda......
 
Suala hili la udini wamelilea wenyewe, wamemtumia sana shehe ponda kwa maslahi yao, sasa wanashindwa kumkamata
 
anapenda kujipendekeza huyu kwa sababu ya uwezo wake mdogo wa kuchambua mambo amejikuta akitumika kama ngao ya serikali ya kikwete hasa kwenye hii SENSA..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wanamtuma wao wenyewe, unategemea wamkamate??
Unakumbuka hotuba ya Makamu wa rais kwenye Idd mwaka 2011 mwanzoni??

''Inshallah tutafanikiwa tu.......''

STUKA!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom