RC Makonda, Polisi Kawe na Serikali ya Mtaa wa Mbezi Beach wamekaidi agizo lako; michanga inauzwa toka mto Kawe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,343
22,639
Mh mkuu wa mkoa,

Pole na majukumu..pamoja na kuleta barua ya malalamiko kwa kinachoendelea huku kawe naamini ama umeipata ama iko njiani kukufikia

Wakazi wa kawe wameshangazwa na kinachoendelea hivi sasa...baada ya mvua kunyesha mto kawe huko nyuma tulikuja kwako kulalamikia malori yanayokuja kubeba mchanga huku mto kawe yakipitia njia ya opp na jk nyereere school

Nakumbuka ulikuja ukapiga marufuku na wakaelewa na hii n baada ya kukuelezea vituki vizima ambavyo ilifika polisi wanashinda pale bar moja inaitwa junction bar kusubiri malori dreva anashuka anaonana na polisi anamfwata mtu wa serkl za mitaa wanajua wanachopeana lori inaachiwa

Baada ya kupiga marufuku ile sasa serkl ya mtaa tena imeanza kuruhusu malori kushuka chini kubeba michanga huku wakikusanya pesa bila aibu bila resit toka kwa madreva

Baada ya malalamiko haya taarifa zimefikishwa polisi kawe ambako wananchi waliamini kama ndio msaada pekee kusimamisha uchimbaji huu wa mchanga..matokeo yake n kama zamani

Polisi wanalikamata lori dreva anashuka anaenda kuongea nao baada ya mda lori inaondoka ...haichukui masaa mawili unawakuta polisi wale wale na gari zile zile zikitoka chota mchanga wanasimama nakwenda kuwaona inaondoka na wao wanaondoka wanakaa kidogo wanashuka tena huku mto kawe

Hii vita ya uchimbaji mchanga n nzito mh rc tunaomba msaada wako ikumbukwe kama gari moja inabeba mchanga zaisi ya mara tano uwezi kuniambia polisi wale wale waiakamate mara zote hizo....

Mbaya zaidi inapoka.atwa na mapolisi ambao hukaa sana bar moja inaitwa kwa mangi...wanasimamishwa tena duka moja la kwa massawe..hapo wanatoa pesa kwa watu wa serkl za mitaaa

Ikumbukwe malori haya yanaaribu barabara zetu na ipo siku hata waliwahi gonga watoto wetu huko nyuma sababu ya uendeshaji mbovu na mwisho sasa wanataka kumaliza mto mzima.....

Tunaomba viongozi wa serkl za mtaa waitwe waje wajibu nani anatuma watu kukusanya pesa nani ameruhusu huu uchimbaji mchanga na je nemc wanajua..je tra wanajua??

Hamwoni tunapoteza mapato mengi kama tumeamua kuruhusu uchimbaji ingawa tunaweka ktkt hali mbaya watu wanaoisihi huku .....

Maombi yetu mungu akuongoze hawa mabwana waavche kabisa kubeba michanga...huku mto kawe
 
Ofisi ya Makonda nenda pale ilala boma we RAIA mwema
 
Huko maeneo si ndio Clouds360 pamoja na TSN waligawa misaada kwa waathirika wa mafuriko na kudai kaya 200 zimekosa makazi kwa mafuriko yaliyoboma daraja la malecela na supermarket ya TOMMY na pale Stone Block.

Hakika Le commander field martial Makonda atawashukia kama mwewe sababu wabasababisha njia na daraja kuharibika hao watu.

Serikali ya mtaa ya Mbezibeach imelalamikiwa sana kwa Rushwa hivi huu uchaguzi kwanini msiwapige chini hao kina Pantaleo na John
 
...[HASHTAG]#pdiddy[/HASHTAG] ni muda sana umekuwa ukisema kuhusu hali ya huko kawe na uchimbaji wa mchanga na hakuna jambo hatua yoyote iliyochukuliwa Mpaka sasa

Ova
 
Back
Top Bottom