RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

hata akivitoa mtasema ni vya kugushi.. kwani mna maana nyie. muacheni aendelee na kazi zake na nyie endeleeni na ya kwenu. hata hivo cheti hicho mnachotaka haikuwa criteria ya kuchaguliwa kwake.
hapo ni kosa la udanganyifu... na sidhan kama itakuwa kweli huyo jamaa atapona
 
Kwa mtu anayejiamini angetoa vyeti vya form four faster bila kuzunguka mbuyu. Serikali ya hovyo hovyo na viongozi wa hovyo hovyo
Kuna ulazima gani? wa kutoa vyeti na ni mamlaka gani? inayomtaka atoe vyeti. na asipotoa kitatokea nini? Na kwanini haya yote yaibuke kwenye sakata la dawa za kulevya.
Licha ya kuandamwa na tuhuma za kughushi vyeti, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawezi kuzungumzia suala hilo kwani majibu yake yapo mtandaoni sakata lilipoanzia.

Makonda amesema hayo leo (Ijumaa) alipoulizwa swali na wanahabari kuhusu uhakika wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo lake.

"Maswali ya mitandaoni yanaishia mitandaoni siko hapa kupoteza focus (mwelekeo). Ukiona maneno mengi yanaibuka kwenye ishu ya dawa za kulevya ndiyo ujue vita imefika penyewe," amesema Makonda.

Chanzo: Mwananchi
 
Jamani ni vyema Tukafanya hizi Effort wenyewe , ili kurahisisha Wepesi na shinikizo la wizara usika Kutupatia majibu na Ukweli.

Kinachoniuma Roho , Nina ndugu, jamaa na marafikii zangu waliofukuzwa na kusimamishwa Kazi kupitia mchakato huu Wa Kuhakiki vyeti .

Msumeno huo huo uliopita kwa Ndugu Zetu , Basi Utupe Majibu juu ya Vyeti hivi vya Ndg.Paul C Muyenge.
Hii itasaidia saana kuondoa ukakasi wa kinachoendelea.

Tukianza na Picha yake , Alipo , ngudu zake wanasemaje na yeye mwnyewe anasemaje pamoja na historia yake ya Elimu Basi itatusaidia .

Yeyote anayemjua zaidi .
 
Yeye amejibu kuwa ni Mhaya na Bashite Msukuma hivyo hawawezi kupeana vyeti haaaaa. Wizara itoe cheti cha Muyenge na hiki cha Makonda tuone scores... Lakini pia tuone namba zao za mtihani.... Isitoshe tujue shule walizosoma... Hii kashifa ni kubwa kuliko ya Kihiyo na sizonje asifunge vioo ataanguka nalo hii. [HASHTAG]#uhakikivyeti[/HASHTAG]
 
Hizo ni chuki binafsi ww hujiuliz n kwann yote haya yameanza baada ya hii vita dhidi ya wauza unga?

Wameshindwa kumuua sasa wamemtafutia zengwe.

Tz uzalendo ni sifuri yan na sisi tunashabikia tu au ndo siku nzuri kwa mlala hoi tajiri akila msoto?
 
Wale waliotumbuliwa sio watanzania ni wa Vietnam sio?
 
Dah, kweli vita ya ngada ni ngumu. Inataka ujasiri wa hali ya juu.
 
Yeye amejibu kuwa ni Mhaya na Bashite Msukuma hivyo hawawezi kupeana vyeti haaaaa. Wizara itoe cheti cha Muyenge na hiki cha Makonda tuone scores... Lakini pia tuone namba zao za mtihani.... Isitoshe tujue shule walizosoma... Hii kashifa ni kubwa kuliko ya Kihiyo na sizonje asifunge vioo ataanguka nalo hii. [HASHTAG]#uhakikivyeti[/HASHTAG]

Huyo aliyetoa hiyo taarifa siyo muyenge
 
Hizo ni chuki binafsi ww hujiuliz n kwann yote haya yameanza baada ya hii vita dhidi ya wauza unga?

Wameshindwa kumuua sasa wamemtafutia zengwe.

Tz uzalendo ni sifuri yan na sisi tunashabikia tu au ndo siku nzuri kwa mlala hoi tajiri akila msoto?
Wamuue kwa lipi sasa? Umeishiwa hoja. Gwajima alisema atatoa pigo na ametoa kwa ushahidi baada ya kazi ya akina Mange Kimambi

Afukuzwe kazi, ashtakiwe akaleiaka saba
 
Back
Top Bottom