RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

Mimi najiuliza kitu kimoja jukumu mojawapo la Media ni kufichua na kuibua mambo hadharani habari hizi zilianza kama tetesi sasa zinakua kwa kasi ushauri wangu nyie watu wa media mtafuteni katibu mkuu wa Nacte aulizwe vp kuhusu tuhuma za bwana huyu hapo watapata pa kuanzia hata kama wamenyimwa ushirikiano. Media play your role
 
Upuuz tu mtu ajiita great thinker alafu akili yake inawaza vyeti tu.Anasahau kuwa vijana wanaangamia na dawa za kulevya hao mnaowaamini kuwa wanavyeti halali walifanya nini juu ya dawa za kulevya jiji Dsm .Kweli nimeamini nabii hakubaliki kwao.Makonda ameletwa na mungu kuokoa hiki kizazi kinachoangamia na dawa za kulevya kama kwenye kaya yenu kuna muathirika wa madawa ya kulevya utanielewa vizuri leo ngada Dsm imeadimika vijana wameanza kuimarika kiafya .karibu KINONDONI BRAZIL NA MANYANYA UONE UKWELI U.
 
Upuuz tu mtu ajiita great thinker alafu akili yake inawaza vyeti tu.Anasahau kuwa vijana wanaangamia na dawa za kulevya hao mnaowaamini kuwa wanavyeti halali walifanya nini juu ya dawa za kulevya jiji Dsm .Kweli nimeamini nabii hakubaliki kwao.Makonda ameletwa na mungu kuokoa hiki kizazi kinachoangamia na dawa za kulevya kama kwenye kaya yenu kuna muathirika wa madawa ya kulevya utanielewa vizuri leo ngada Dsm imeadimika vijana wameanza kuimarika kiafya .karibu KINONDONI BRAZIL NA MANYANYA UONE UKWELI U.
ASKOFU GWAJIMA ANAUZA
AU ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA ?
 
Mnaosema MH.Katumia vyeti vya mtu mwingine, mmefaham leo? je mlikua wapi kabla ya sakata la dawa za kulevya?
Ndo serikali imewalea hivyo yaani hata wewe Joksa siku ambayo utaonekana kuichachafya serikali hadharani kifuatacho utamulikwa kwa jicho la karibu kuona madhaifu yako yote kwa kila idara nyeti ya serikali kupita kwako, vivyo hivyo imekuwa katibia kwa wananchi ya ukifuatilia kitu kwa njia ambayo wengi hawaipendi ama umeteleza kutekeleza majukumu yako alafu ukakomaa na msimamo wako, wanachofanya ni kuanza kutafuata weakness point yako mpaka waipate
 
Wakuu.

Takribani siku kadhaa kumeibuliwa tuhuma nzito juu ya mkuu wa mkoa wa Dar kijana mtendaji na mbunifu Paul C Makonda kuhusu elimu yake .

Uzito wa tuhuma hii ndio umenifanya kuandika uzi huu ili waliokaribu na Mh Rc wamshauri kujitokeza hadharani na kujibu tuhuma hizi.

Ni kweli kuwa tuhuma hizi zimeanzia mitandao hivyo sio tu kuwa zinapaswa kuishia mitandao bila majibu bali zinahitaji majibu kutoka kwa mhusika mh Rc Makonda.

Kama ni kweli Mh Makonda hajatumia vyeti vya mtu na kama ni kweli mh Makonda alikaaa darasani kwa muda wote wa masomo yake na kupata vyeti halali hapaswi kuwa kimya bali ajitokeze hadharani na kukanusha tuhuma hizi.

Makonda ameshashika nyadhifa nyingi nchini kuanzia kwenye shirikisho la elimu ya juu nchini..ndani ya chama chake na mpaka sasa kwenye utumishi wa umma.
Huku pote alipopita ameonyesha uwezo mkubwa kiuongozi licha ya kasoro ndogo ndogo za kibinadamu.

Kujitokeza kwake kuclear doubt kuhusu ili kutamfanya Makonda kuzidi kuaminika na jamii yetu ya kitanzania ata kama itakua ni kweli hajasoma kiulali lakini tayari ana karama ya kiuongozi na zipo nafasi nyingi tu ambazo hazihitaji qualification kubwa za kielimu.

Huko nyuma mkuu wa mkoa wa njombe wa sasa aliwahi kutuhumiwa kupata division zero form six lakini still ni kiongozi mpaka leo.

KWANINI MAKONDA ANATAKIWA AJITOKEZE HADHARANI.
Kuna viongozi wengi wa ngazi za juu huko nyuma waliwahi kutuhumiwa kuhusu elimu zao.Lakini hakuna ata mmoja aliewahi kujitokeza hadharani kukana tuhuma hizo.

Lakini kwa Makonda tuhuma hizi ni nzito na zinaweza kuja kuwa kikwazo cha safari yake ya kisiasa hapo baadae hivyo ni vizuri akiclear doubt mapema.


Wasalaam.
 
Licha ya kuandamwa na tuhuma za kughushi vyeti, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawezi kuzungumzia suala hilo kwani majibu yake yapo mtandaoni sakata lilipoanzia.

Makonda amesema hayo leo (Ijumaa) alipoulizwa swali na wanahabari kuhusu uhakika wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo lake.

"Maswali ya mitandaoni yanaishia mitandaoni siko hapa kupoteza focus (mwelekeo). Ukiona maneno mengi yanaibuka kwenye ishu ya dawa za kulevya ndiyo ujue vita imefika penyewe," amesema Makonda.





Chanzo: Mwananchi
ama kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. kama kweli ana vyeti hivyo, kwanza atoe cheti cha kuzaliwa ca Paul Christian Makonda pamoja na Cheti cha Kidato cha nne cha Paul Christian Makonda. Kama aliweza kukemea ya madawa ya kulevya basi aje na jibu sahihi kwa hili. tupe uhakika broo maana hata maamuzi yako na utendaji kazi wako hauko tofauti na ule wa Philip Mulugo, Naibu waziri wa elimu.
 
Jamaa utendaji wake baadhi ni nzuri, lakini kama kweli hana sifa apishe wengine wenye sifa, nikikumbuka alivyowadhalilisha watu, na wengine ni baba zake wenye uzoefu kazini, alafu kumbe yeye ndio hana sifa !!!!
 
Kwa hulka na tabia ya Makonda, angekuwa yupo CLEAN and GENUINE angeshaita waandishi wa Habari na ku clear the air.

The fact is.. Jina lake ni DAUDI ALBERT BASHITE.

Another fact.. HANA CHETI cha form 4 cha jina la PAUL CHRISTIAN MAKONDA na wala hana cha DAUDI ALBERT BASHITE kwasababu alipata Zero form 4.
You wish
 
ama kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. kama kweli ana vyeti hivyo, kwanza atoe cheti cha kuzaliwa ca Paul Christian Makonda pamoja na Cheti cha Kidato cha nne cha Paul Christian Makonda. Kama aliweza kukemea ya madawa ya kulevya basi aje na jibu sahihi kwa hili. tupe uhakika broo maana hata maamuzi yako na utendaji kazi wako hauko tofauti na ule wa Philip Mulugo, Naibu waziri wa elimu.
Mtumishi wa Mungu anasimama Madhabahuni nakuamiisha Umma kuwa anavyeti Feki vya Paul Makonda kikiwemo kile anachodai Makonda Alipata Zero.

Maswali yakujiuliza
1. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero kwakua serikali huwa haitoe vyeti kwa watu wenye zero?

2. Kama kweli Makonda anatumia majina mawili tena mbona Gwajima hatuletei hati ya Mwanasheria ya Makonda kubadili jina?
3. Je nilini Baraza la mitiani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliehitaji hatakama sio vyake?

4. Je inawezekana vipi Makonda na Gwajima wote kumiliki vyeti original vya mtu mmoja??

"watu wangu wanaangamia kwakukosa Maarifa "
 
Back
Top Bottom