RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

Viongozi wa Tanzania wanachagua uvumi wa kujibu, hapo ingevumishwa kwamba "kuna hamu ya kula" maana njaa hakuna, wangeibuka na kusema kuna chakula cha kutosha lakini habari kama hizi huwa hazijibiwi
 
Atazungumza nini wakati hana cheti? Angekua nacho angekitoa siku nyingi sana.
Washiriki wa biashara ya kulevya huita waandishi wa habari kujanusha na kutoa ahadi za kuapiza kuwa aliyewataja atashikishwa adabu. Badala yake wanaishi kushitakiwa wakadai hati ya kutokukamatwa au kuwekwa kizuizini.

NANI MWUNGWANA NA MSTAARABU
 
Kwa ninavomjua paul daudi makonda ni kweli hana vyeti vya kidato cha nne kwa misifa yake ilivo jana angeleta vyeti vyake kwa waandishi wa habari lkn cha ajabu akajifanya muungwana sana eti mambo ya mitandao yaishie hukohuko tanzania hii
 
na mimi nasema kweli , makonda huyu huyu anavyopenda halafu aende bila vyeti , vyeti ambavyo ni rahisi kuchukulika hii kweli isingewezekana
 
Makonda ni kweli alipita njia za mkato kweye elimu na ndio maana mambo yake mengi anafanya kihuni bila kufuata sheria.
 
na mimi nasema kweli , makonda huyu huyu anavyopenda halafu aende bila vyeti , vyeti ambavyo ni rahisi kuchukulika hii kweli isingewezekana
usijali labda kip mbali kidogi atakileta tu..mbona watu walichonga sana kuhusu kutokuwepo kwa hati ya Muungano lkn hatimaye ikaonyeshwa kwa wananchi...
 
Sio kila anayesema makonda hana vyeti ni muuza unga makonda suala hili hata yeye binafsi anajua Lina mweka mahala pagumu asingependa Na kama hivyo vyeti Na Hugo mwenye jina anayetajwa Kwa halo ilivyo angemleta hadharani Na vyeti angeviweka hadharani ili kujisafisha.kutokufanya hivyo ni ushahidi tosha kuwa hana vyeti
 
usijali labda kip mbali kidogi atakileta tu..mbona watu walichonga sana kuhusu kutokuwepo kwa hati ya Muungano lkn hatimaye ikaonyeshwa kwa wananchi...
Hivi ni kweli Ile hati ya muungano ilikuwa yenyewe bila chenga mbona ilichukua muda mrefu kuletwa au ilikuwa uingereza?
 
Si kwamba hawana Akili bali,, katika uhalisia wapo wenye vyeti feki ambao kwa walilipwa mishahara mikubwa lakini ,, utendaji wao wa kazi haukuwa na ufanisi wowote,,

Lakini kijana Makonda,, hata kama vyeti atakuwa kweli anavyo Feki,, basi amethubutu ameweza kile hata wenye vyeti safi hawawezi na hata kuthubutu kidogo hakuna aliyeweza.

Vyeti bila mafanikio kwa jamii vina faida gani,,?
Vijana wengi walisha haribiwa na Madawa ya kulevya,, hao wenye vyeti vzr walichukua jukumu gani kuwanusuru,,

Ni sawa na kuwa na pesa nyingi ndani lakini eti unakufa kwa njaa,, kisa usifiwe wew ni tajiri kumbe huna maamuzi ktk hizo pesa zako,,familia yako inakufa njaa,, jirani zako wanakufa kwa maradhi pesa unayo husaidii,, Faida ya utajiri wako ipo wapi?

Lakini jamii inampokeaje kijana ambae hana hata robo ya utajiri wako,, yeye anapambamba kwa nguvu zake binafsi ktk kuokoa jamii yenu inakufa kwa njaa na maradhi,, Yupi ni bora kati ya hawo wawili kwa mtazamo wako ndg yngu?
Nijibu kwanza,wanaoendelea na zoezi la uhakiki HAWANA AKILI?
 
Back
Top Bottom