RC Arusha amvaa Mbowe, CHADEMA

Hata yule mkuu wa Polisi Tarime Swai alishawahi tamka maneno ya ubaguzi wakati na yeye si mtu wa Mkoa wa Mara...

Raisi angekuwa mtu makini angeshawatimua kwani wameonesha kuwa si Viongozi zaidi ya Ushikajilism
 
jamaa ni mzaliwa wa kibara-bunda katika kijiji cha mwigundu wazazi wake ni wachawi ile mbaya.


Kwenye mpira wa miguu hasa simba na yanga kuna kitu inaitwa kamati ya ufundi, wajumbe wake lazima wawe wana uzoefu na sifa za hawa wazazi. Vipi kuongoza serikali kuna kamati ya ufundi?
 
ameshika ukuta nini, bibi vp aise hana maneno yaku toa mpka you sit na watu na akili zao una bonga stupidity. be learned ndio tatizo kubwa tz.
 
Right kwa mambo gani? Kama hayo aliyoyaongea ni upupu mtupu. Acha kuonyesha kuwa akili zako na za rc zinafanana. Mwache rc, alipozungumza upupu huo alilipwa lakini wewe unapoandika upupu huu unalipia. Kisongo, angalia unatumika kuhiharibu Tanzania, fumba macho yako then angalia miaka 50 ijayo kama tz itaendelea kuwa na ccm.
 
Kawaida yao kusema... Wametoka nje ya Arusha (wakati Magesa naye si wa Arusha)... Wametoka nje ya Igunga (Kafumu naye si wa Igunga).... Ni matamshi ya kibaguzi tu kuanzia gamba kuu hadi magamba matoto... Mara chama cha wachaga (wanasahau ccm nayo ina wachaga)... Mara rais hawezi kutoka kaskazini... Mara kuna udini... Mara mna wivu wa kike... Mara acheni wivu wa kijinga... Mara... Mara..
 
Mulongo alikejeli falsafa ya ‘nguvu ya umma’ na maandamano inayotumiwa na Chadema kiasi cha kuchafua hali ya hewa ya kikao hicho baada ya madiwani na viongozi wa Serikali za Mitaa waliopata nyadhifa zao kupitia udhamini wa chama hicho cha upinzani kususia na kutoka nje.Viongozi hao walisema wasingeweza kuendelea kumsikiliza mkuu huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani hapa.Mulongo aliitisha kikao hicho kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi ili kujadili na kupeana mikakati ya maendeleo kwa viongozi na watendaji wa Manispaa ya Arusha.

“Kuna mtu (Mbowe), juzi alikuja hapa na kuhoji hivi Mkuu wa Mkoa (Arusha) ni nani hadi atishe watu? Sasa leo nimewaiteni hapa kuwaambia mkuu wa mkoa ndiye mimi. Sikupendezwa sana na maneno hayo, lakini sitaki kuingilia mambo hayo kwani wazee wetu walitufundisha kuwa ukioga ziwani, akaja kichaa akachukua nguo zako nawe ukichomoka kumfukuza, utaonekana kichaa ni wewe,” alisema Mulongo.
Alihoji pia uwezo na ujasiri wa Mwenyekiti huyo wa Chadema kutoa masharti kwa Serikali kuhusu mkutano wao wa hadhara uliofanyika Jumatatu iliyopita
.[/I]
[/I].[/QUOTE]

NILIPOSOMA TAARIFA HII ILINIPATA TAABU KIDOGO KUAMINI KAMA HUYU NI MTU MWENYE WADHIFA WA MKUU WA MKOA AMA NI KATIBU WA CCM WA MKOA? KWA UFAHAMU WANGU MKUU WA MKOA NI MTENDAJI WA SERIKALI YA MKOA, HANA HAJA KUHUBIRI SIASA ZA CCM KWENYE MAJUKWAA, AMA HUYU NDIYO WALE WANAOPEWA VYEO KWA SABABU YA KUIMBA CCM NAMBARI ONE KWA BIDII? KWANI KULE KWA KOMBA (TOT) KUMEJAA? KWANINI ASIENDE HUKO? KWANZA LABDA TUPAYE WASFU WAKE KABLA HATUJAMLAUMU SANA, KWA ANAEUFAHAMU, JAMANI! AMA NDIYO WALE MAKADA WAZURI?
TUMEAMBIWA NA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KWAMBA MSEMAJI MKUU WA CCM NI NAPE SASA HUYU NAYE ANAIPENDA NAFASI YA NAPE PIA?
MAJIGAMBO YA UKUU WA MKOA HAYAMSAIDII JAMAA HUYU, AJUE KWAMBA TANZANIA NI YA WATANZANIA NA SI YAKE WALA POLISI, TUNAPENDA AJUE HIVYO, NA ANASIKITISHA SANA KWA KUTOKUONA ALAMA ZA NYAKATI. HATA KAMA KUSOMA HAJUI JEEHATA PICHA HAOINI?

mbowe NI MWAJIRI WAKE ASIJARIBU KUMDHIHAKI KWA VILE NGUVU HIYO YA UMMA ANAYOIKEJELI ITAMNYIMA UGALI MUDA SI MREFU. NA KWA UELEWA WANGU WATU KAMA YEYE WAPOTEZA KAZI NA YEYE HANA MUDA MREFU TUTAMSIKITIKIA AKIWA BARABARANI AKIONGEA PEKEYAKE WAAJIRI WAKE TUTAMKANA KABLA YA JOGOO KUWEKA.
KWA HERI WEE MULONGO, ARUSHA SIYO KWENU WALA SIYO KWAKO WEWE UMEPEWA UKUU WA MKOA KUSIMAMIA MAMBO YAENDE VIZURI NA SIYO KUAMURU POLISI WAWAPIGE WATU.
MBOWE KAMANDA BORA SANA KULIKO WEWE, LEMA KAMANDA BORA SANA KULIKO WEWE.
icon8.png


icon6.png
 
Huyo shetani Bukombe waliahidi kumchoma moto alitoroka na akaibukia Bagamoyo nako wakaahidi kumpiga risasi leo kaibukia Arusha na dhani hapo ndiyo atakapofia asipobadilika. Kauli y kamanda MBOE ni sahihi kabisa yeye ni nani? kachaguliwa na nani? huyu sio kiongozi wa watu maana hakuchaguliwa na watu hata aliyemteuwa naye hana ridhaa ya watanzania kuwaongoza, Lema ndiyo kiongozi wa Arusha na wengine wote wako chini yake na kauli yake ndiyo itakayoleta amani Arusha na siyo huyo shetani na ibirisi anayefikilia kwa kutumia masaburi.
 
Magessa Mulongo siyo mtu wa Arusha, hawezi kuwa msemaji wa watu wa Arusha.
Kitendo cha kuzungumzia suala la Arusha kwa mabavu inadhihirisha ni mbaguzi, eti wanaoleta vurugu si wakaaji wa Arusha, kwani yeye si mkurya?
Pumbavu zake hili lijamaa! Mwisho wa siku atasema Lema hana sifa ya kuwa mbunge wa Arusha kwasababu siyo mwarusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom