Rayvany na Diamond wimbo wa Mwanza uko chini ya kiwango, BASATA kazi kwenu

Nyegezi ni stand ya mabasi yaendayo mikoani na daladala iliyopo MWANZA.
Ambaye alikuwa hajui maana ya nyegezi Ndo hiyo.
 
Ukitoa matusi ya kusifia kula mgongo na mengine kwenye nyimbo za diamond hana cha zaidi.
Ndo maana namkubali aslay hana matusi na nyimbo ina kiswahili fasaha kabisa na nzuri. Nyimbo anazoimba diamond now kama uko na bimkubwa halafu redio imeplay lazima ubadili station. Maana ni udhalilishaji.mwanzo mwisho.....
Team diamond ruksa povu!!
Ulazimishwi kumpenda sisi tunampenda ok
 
Wabongo kweli mna roho ngumu, yaani mmekosa kabisa nyimbo za kuskiliza???? Si bora muskilize hata kina Wizzy, wakina Breezy, wakina Jizoooo, cole etc... Huo nao nauona bado waafrica tuna utumwa wa fikra bado
Mimi namsikilza lil Wayne hapa ... Can't broken ngoma Kali sana hii
 
Diamond anadai anaogopa central kucheza michezo ya Amber Rutty. Hii inachukiza sana
 
Diamond ukiondoa scandal na matusi kwenye nyimbo zake hana kingine cha maana kwenye mziki wake.

Wakati wakina wizkid na Davido wanazidi kung'aa yeye kutwa kuimba upuuzi. Tunaona mwaka huu davido aliibuka na tuzo kubwa ya BET wakati yeye hakuwa hata nominated.

Ninamkubali sana Mondi ila anakoelekea siko.

Sasa ninamsubiri Mwanaume Mwenye vibasaba vya wakina James delicious ajitangaze rasmi kuja kumjibu "kihunihuni" mwanaume wa mkoani.
Ulishawahi kuyaweka katika lugha ya KISWAHILI hayo maneno wanayoimba wakina Davido na Wizkid?
 
Wabongo kweli mna roho ngumu, yaani mmekosa kabisa nyimbo za kuskiliza???? Si bora muskilize hata kina Wizzy, wakina Breezy, wakina Jizoooo, cole etc... Huo nao nauona bado waafrica tuna utumwa wa fikra bado
Bora kuwasikiliza akina nani???
Hivi ni kweli hao uliowataja hawaimbi MATUSI?
Unajua kuna muda inashangaza kiasi,unakuta mtu anadai kuchukizwa na maneno anayotumia Diamond katika nyimbo zake,lakini wakati huo huo unakuta huyo mtu ni mfuasi mzuri wa wasanii wa Marekani. Pia unakuta kwenye vifaa vyake vya kutunzia nyimbo kuna nyimbo za akina Cardi B na Nicki Minaj,na watoto wake wanasikiliza pia.
Ahahaaah,inachekesha sana.
J.Cole,Kendrick Lamar, Lil Wayne, Young Thug, Nicki Minaj, Cardi B, wote hawa nyimbo zao zina matusi mengi tu.
Tupac na Big pia walikua wanaimba matusi pia.
Au matusi ya lugha ya kigeni ni MATAMU? Sidhani!!!
Jambo la msingi,lea vizuri mtoto wako,mfundishe kipi cha kupenda na kipi cha kuchukia kulingana na umri wake. Usitegemee Diamond atakuja kufanya muziki akiwa na lengo la kufanya kijana wako awe na tabia njema, muziki kwake ni biashara.
 
Naona mnahangaikaaa kuuponda huu wimbo...

Ni kweli mjimbo wote ni matusi mwanzo mwisho

Ila Basata kuufungia msahau...wakiufungia ntakata gogo kuanzia posta mpaka mbagala ...tena kwa mafungu mafungu
 
Mbona kuna mdau kasema Basata wameshaufungia?
Naona mnahangaikaaa kuuponda huu wimbo...

Ni kweli mjimbo wote ni matusi mwanzo mwisho

Ila Basata kuufungia msahau...wakiufungia ntakata gogo kuanzia posta mpaka mbagala ...tena kwa mafungu mafungu
 
Naona mnahangaikaaa kuuponda huu wimbo...

Ni kweli mjimbo wote ni matusi mwanzo mwisho

Ila Basata kuufungia msahau...wakiufungia ntakata gogo kuanzia posta mpaka mbagala ...tena kwa mafungu mafungu
Mkuu BASATA wamenisikia , nyimbo iko lokapu aka behind bars
 
Sasa basata si wapuuzi tu kama wewe
Wewe ndo unajitoa akili, mtu anaimba nyege nyege nyege nyegezi alafu unajifanya huoni tatizo au huelewi inasound vipi mbele ya jamii
Kuna siku mtu ataimba mbo mbo mbo mbozi alafu utasema kamaanisha mbozi na maana yake
 
Bora kuwasikiliza akina nani???
Hivi ni kweli hao uliowataja hawaimbi MATUSI?
Unajua kuna muda inashangaza kiasi,unakuta mtu anadai kuchukizwa na maneno anayotumia Diamond katika nyimbo zake,lakini wakati huo huo unakuta huyo mtu ni mfuasi mzuri wa wasanii wa Marekani. Pia unakuta kwenye vifaa vyake vya kutunzia nyimbo kuna nyimbo za akina Cardi B na Nicki Minaj,na watoto wake wanasikiliza pia.
Ahahaaah,inachekesha sana.
J.Cole,Kendrick Lamar, Lil Wayne, Young Thug, Nicki Minaj, Cardi B, wote hawa nyimbo zao zina matusi mengi tu.
Tupac na Big pia walikua wanaimba matusi pia.
Au matusi ya lugha ya kigeni ni MATAMU? Sidhani!!!
Jambo la msingi,lea vizuri mtoto wako,mfundishe kipi cha kupenda na kipi cha kuchukia kulingana na umri wake. Usitegemee Diamond atakuja kufanya muziki akiwa na lengo la kufanya kijana wako awe na tabia njema, muziki kwake ni biashara.
Unajua sisi waafrica tumezoea kulalamika sana, sasa mleta mada anataka wimbo wa Diamond ufungiwe... Nikamwona kama ni mtumwa kwani ukiachana na diamond hamna mwanamziki mwingine, basi wote tusklize nyimbo za kaswida na nyimbo za dini
 
Waafrika,hapana nafikiri ni Watanzania, bado hawajajua ni mambo gani ya kuyapa kipaumbele na mambo gani ni ya kuyapuuzia.
 
kwaio sisi tunaoishi hapa nyegezi hatuna haki yakufupisha jina la eneo letu, mbona kuna sehemu inaitwa kiboro huko kilimanjaro, ina maana akija mwakilishi kutoka Kumamoto Japan tutakataa kutaja ametoka wapi ?, embu piteni vile sasaivi tunawaza ni jinsi gani tunaweza kupata soko la uhakika la korosho.
 
Back
Top Bottom