Rav4 gx inauzwa.

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
RAV4 GX mpya ya mwaka 2003 inauzwa. imetoka bandarini january hii na imeshakatiwa plate number ipo moshi.bei mil.27 pungufu unaongea.changamkieni pamba nyepesi hiyo!! Kwa anayeihitaji aniPM.
 
Ndugu tumia akili ya kuzaliwa weka picha na maelezo ya kutosha.
 
RAV4 GX mpya ya mwaka 2003 inauzwa. imetoka bandarini january hii na imeshakatiwa plate number ipo moshi.bei mil.27 pungufu unaongea.changamkieni pamba nyepesi hiyo!! Kwa anayeihitaji aniPM.

Nahisi kudanganywa hapa, Toka mwaka 2003 mpaka leo pana miaka 9, hivi inawezekana kupata gari mpya iliyotengenezwa miaka tisa iliyopita?? Najaribu kufikiri tu
 
Kuna rav4 gx VVTI, 2001, imeingia dar september 2011, milleage km 111000. bei mil25. Ipo Tanga
 
ninayo Noah Super Extra 4WD ... white, 149,000 Km, 1999 asking price TZS 13,500,000
 
Ndugu tumia akili ya kuzaliwa weka picha na maelezo ya kutosha.

Za mwenzako changanya na zako. poa mkubwa nimekuelewa ngoja nifanye mpango wa picha mana mi niko dar hlf gari lipo moshi. gari ni auoto. milango minne .......
 
nnayo pickup hilux 2.8 mayai, price 30ml, ina km 25000!
 
Nahisi kudanganywa hapa, Toka mwaka 2003 mpaka leo pana miaka 9, hivi inawezekana kupata gari mpya iliyotengenezwa miaka tisa iliyopita?? Najaribu kufikiri tu

mkuu kwani 2tauziana hapa jamvini!, utaliona utalikagua utalitembelea likikukonga nyoyo ndio utalinunua sasa mpk unalinunua utakua bado unadanganywa?! .........Juzi nimeenda super market nimekuta wine ya 1999.
 
tujazie hii table kwanza,,

rav4m.jpg
 
Nina Nadia Nyeupe Engine 3S ya mwaka 2000, Km 99,450 ipo Dar Bei ni 10M changamkia, kama una hitaji ni PM
 
Back
Top Bottom