Rav 4 ya 1998 kwa milioni 10 tu

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
nimepata uhamisho wa kikazi from znz to dar ndo sababu ya kuiza gari,
imelipiwa ushuru wa znz,bei hii inazingatia gharama za mnunuzi katika kulisafirisha frm znz to dar.
kama atakaye nunua yuko zanzibar basi atakuwa amepata unafuu zaidi
190000km
"maroon" color
automatic gear
5doors
call me 0777 08 00 62 for more details
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom