Rav 4 2002 automatic for sale, 16 millions !!!

Bob Nash

Member
Aug 21, 2009
64
0
Imetumika kidogo tanzania, iko katika hali njema kabisa, bei ni fixed , kwa mawasiliano 0654-633109
 

Attachments

  • SDC14284.JPG
    SDC14284.JPG
    95.1 KB · Views: 121
Kwa hiyo bei mkuu si napata moja kwa moja Japan used ya 2004 hata kama itakuwa auto?
 
Mkuu ukipata site wanayouza hilo gari japan na tukakakokotoa kodi lisizidi hio bei niliyotaja ntakushukuru sana bosi
 
hii ni biashara yako?
nitahitaji kama hiyo but around december hivi
nitumie contacts zako kama ni biashara yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom