Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

Oplusu Mkuu kama huna hoja ya maana msijaze kurasa Lipumba Na slaa hawana cha maana zaidi ya usaliti waliotufanyia dhambi hiyo lazima iwatafune
 
Hapa mtaan kwetu wanasema wanamtambua Lowassa tuu hawataki ckia habar nyingine
 
Kwa taarifa Lowasa ni Mgonjwa hawezi kuzunguka mikoani hadi afya yake itakoimarika
ni mwendo wa chopa kwa ku go front, mpaka awatagishe ma ccm yai la mbuni.

yaan lowassa hata angeumwa hadi ashindwe kukalia kiti sisi tutamshikilia hapo na nguzo huku na huku. Tunachotaka Watanzania ni Lowassa akalie hicho kiti cha urais japo kwa masaa mawili tu, halafu ang'atuke kama Mwalimu, almradi tu mkoloni mweusi awe ameshasalimu amri
 
Ha ha ha ha ha .....mkuu upo ulizidiwa kura mpaka na wema sepetu uko sawa lakini naona selasini alikupa kibano cha haja kwenye kura za maoni.
Mkuu, broo alituambia tusubiri kamati kuu sasa sijui amefikia wapi....maana nasikia tayari alishaangukia pua wenyekiti bavicha mara2.
 
Watz tunataka mabadiliko hili lipo wazi na ni vema likaheshimiwa. Viongozi wa ukawa wakishindwa kutupa mabadiliko tutayatafuta pengine. Huu ni wakati wa mabadiliko. Ccm na viongozi wake wanaishi jwa mazoea niwakati wakuiondoa, mabadiliko ni sasa kwa mustakabali wa Tanzania.
 
Alichofanya Lipumba hakieleweki ila kama kachumia tumboni hewala, slaa tunasubiri atamke ila watz tunataka mabadiliko
watanzania tupo tiyari ila cha ajabu kuna baadhi ya viongozi eti bado wanasuasua!!!

Tunachotaka sisi ni mabadiliko, kama viongozi wao hawataki basi Watanzania tutachanja mbuga wenyewe kimtindo wetu.

tunataka mabadiliko sasa, sasa hivi, NOW!!!!!!!!
 
Kikwete alisema CCM wana maarifa yote,leo wametumia pesa na kumtisha Lipumba kajiuzulu ili kudhoofisha ukawa,ila salamu kwa Kikwete na wezi wengine mwananchi wa sasa siyo yule wakati unaingia madarakani na hii nchi siyo ya Kikwete wala familia yako,Tanzania ni yetu sote,mabadiliko ni lazima,nchi imepinda
 
Back
Top Bottom