Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

Wewe mchumia tumbo ukiachana na CCM utakufa njaa maana hutopata buku 7 tena, ulishazoea kushinda kutwa nzma kwenye vibaraza vya ofisi ya chama mkipika majungu wenyewe kwa wenyewe
 
CCM kimechokwa sana hasa kwa kutengeneza jamii ya wasioguswa kama Mkuu wa mkao wa Darsalama.

Vikundi vya mauwaji visivyoguswa vikisaka Watanzania haswa wale wenye mawazo tofauti na kuwanyamazisha milele.

CCM imekuwa bingwa wa kutengeneza matatizo halafu kuja kuyatatua kabla ya uchaguzi tena kwa mbwembwe.
 
Hali hizo zimewafanya kina "mchumiatumbo" kwa baadhi ya nyakati kujitoa kule ili kujiongezea thamani pindi warudipo "kuunga mkono juhudi!!"
Tangu juhudi zimeungwa mkono tumejionea wakipatikana "WASOMI PUMBAVU NA DARASA LA SABA WENYE SIFA!!!"
CHINI YA FISIEMU NCHI HAITAPATA MAENDELEO YENYE TIJA WALA UCHUMI SHINDANI... CHAMA KIOGA CHA CHANGAMOTO NA UTHUBUTU HUJENGA SERIKALI DHAIFU NA TEGEMEZI...
 
We mwenyewe hutakiwi sababu ni mtu wa majungu. Toka haraka sana
Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
 
Itakuwa vema sana maana upo huko kama bidhaa isiyo na manufaa.
 
Aisee akaunti imehekiwa ,hamjalipwa buku saba zenu ,naona wapiga zumari wa jiwe akili zimeanza kuwarudia ,hamataki tens kuimba ile wimbo wenu wa mbele kwa mbele .
 
Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
Hufanyi kazi unataka kufanana na wengine
 
Back
Top Bottom