Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
ulitakiwa utujibu haya maswali kabla hujatoka huko usije na huku ukatuletea mazoea ya kuupenda umaskini.kwa kuwa na wewe ni moja ya watu waliotuchelewesha.
 
Unaelekea wapi?nani unaeamini anaweza kuondoa huu umasikini,umefanya Nini ili kuondoa huo umasikini na je unafikilia wapi unaweza ukaungana ili kuondoa umasikini?
 
Ohooo Lumumba mmeanza kutafutana
Hivi.......
tapatalk_1558685388053.jpeg
 
Mwehu wewe nani alikwambia kuwa tu ccm ni kuagana na umaskini? Kafanye kazi acha ujinga

Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
 
Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
Acha kujitekenya wewe
Unaacha ccm unaenda wapi?
Kwa sasa ccm ndio chama walau kinaweza kujinasibu kuleta mabadiliko,Miaka 20 nyuma Tanzania haikua hivi
Mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri hawezi kuicha ccm ya sasa,kila la heri uendako
 
Mkuu acha kuruka ruka kama bisi kwenye kikaango.

Mtu anayeshindwa kusimamia anachokiamini huwa namsahau mapema sana.
 
Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.
Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?
Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.
Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
Lissu alitwambia kuwa, tuna Rais wa ajabu, sasa mmeanza kusadiki. Karibu kamanda Chadema.
 
Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
Ni safari ngumu na yenye kuhitaji moyo kwani wengi waliishia kusema "fisiemu si baba wala mama yao" lakini mwisho wa siku walirudi kulekule ufisadini ili kulinda maslahi yao...
 
Back
Top Bottom