Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

changa hili
IMG_20190609_120240.jpg
 
CDM mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe - CCM iko imara anayesema nchi haina maendeleo mwambie:-
(i). Aangalie umeme vijijini,
(ii). Aangalie barabara za lami,
(iii). Aangalie viwanja vya ndege,
(iv). Aangalie maendeleo ya mawasiliano,
(v). Aangalie elimu bila malipo,
(vi). Aangalie mikopo elimu ya juu,
(vii). Aangalie zahanati na vituo vya afya nk nk

Umepofushwa na itikadi za kisiasa kiasi kwamba huwezi kuona mema ya CCM
 
Halafu anakuja mtu ananiambia kwamba awamu hii imetufundisha kutumia hela vizuri eti kwamba tulikuwa tunadharau pesa tunayopata.hivi mtu Kama ulikuwa unapata laki tano kwa mwezi halafu Sasa Hivi unapata laki mbili tu utasemaje maisha magumu au sio magumu?acheni utani jamani vijana tunazidi kupoteza ndoto zetu hazitimii..tutaoa?tutajenga nyumba zetu kweli kwa style hii?mawazo yataisha kweli? watanzania tuna machungu Sana furaha hakuna moyoni Kama kungekuwa na kipimo mngepima muone.matarajio yetu wengi ilikuwa awamu mpya maisha yetu yabadilike lakini sio kwa style hii?
Wewe ndio Kichere nini?
 
Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
Mabadiliko hayana ukomo. Hata Malaysia bado inapambana kubadilika.
 
Kweli JF siku hizi haina "Watu" kabisa!
Huyu ndege JOHN siku si nyingi hapo nyuma kazi yake ilikuwa kusifia tu kila jambo!
Inaonekana sasa njaa inampiga analia kilio cha mbwa koko!
Post zake nyingi siku hizi inaonekana njaa inampiga mbaya!
Tulishawambia Mwanaume huwezi kutoboa katika maisha kwa kujipendekeza kwa wanaume wenzako lazima uweke misingi yako imara ya kujiletea Kipato!
Hata huyu Cyprian Musiba aliyejitoa akili na kuona kila mtu hana mawazo ya kuendeleza Nchi hii isipokuwa Rais Magufuli ,wewe subiri awamu hii ya 5 itoke madarakani utaona kama hicho kichwa chake cha tikiti maji kiko hivyo!
Umenifanya ni cheke hapo mwisho.
 
Miaka ishirini ni mingi sana kubadilisha nchi.Kwa kweli mnisamehe kwa sasa inanibidi nifikirie Kama mtu mwenye akili sawasawa.

Haiwezekani Malaysia waweze kuibadilisha nchi yao na kuifanya Kuwa tajiri kwa miaka 20 tu. Sisi tunakwama wapi?

Watoto wa kimasikini bado idadi yao iko kubwa sana.

Miaka 20 Ni mingi jamani kwa watu wenye elimu kufanya mabadiliko na kuleta maajabu.
Ni zaidi ya miaka 30 na uhuru zaidi ya miaka 57
 
MA
CDM mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe - CCM iko imara anayesema nchi haina maendeleo mwambie:-
(i). Aangalie umeme vijijini,
(ii). Aangalie barabara za lami,
(iii). Aangalie viwanja vya ndege,
(iv). Aangalie maendeleo ya mawasiliano,
(v). Aangalie elimu bila malipo,
(vi). Aangalie mikopo elimu ya juu,
(vii). Aangalie zahanati na vituo vya afya nk nk

Umepofushwa na itikadi za kisiasa kiasi kwamba huwezi kuona mema ya CCM
MAENDELEO YANACHANGIWA NA WANANCHI WOTE KUPITIA KODI ZAO, SIO VYAMA VYA SIASA. KILA MLIPA KODI ANACHANGIA MAENDELEO YA NCHI,
 
Ukiwa unategemea udc,ukurugenzi,urc awamu ya tano ghafla unashangaa bado mwaka mmoja tu.......Pole sana kwa kusubilia hadi leo umejitia kitanzi mwenyewe.

Mavyama haya yanawatesa sana mnashindwa kuwa huru
 
maisha magumu sana dah
Lawama zote kwa Joni!! Ameshamalizana na wafanyabiashara makada wa ccm!! Siku akitukumbuka na sisi Buku7 fc atuite kusikiliza kero zetu mnishtue aisee! Tumechoka walahi!! Sasa hivi ISIS hata buku ya bando imemshinda! Magonjwa Mtambuka analazimika kufanya vibarua vya hapa na pale ili awe hewani kumsifia jiwe!! Kwa kweli hali yetu ni mbaya sana!!mwenyekiti ametugeuza ma carpet fighters! Sijui haoni tunavyotukanwa huku?
 
Hivi yule kipara kipya ndio alitekwa moja kwa moja ?
Mambo magumu mangi!! Ukizingatia wengi hawakuwa na kazi nyingine zaidi ya kupiga tantalila hapa na pale kisha jioni mnagawiwa visenti kidogo vya kujikimu,siku hizi wanabana mno mkuu!! Unamkumbuka Makusudically ? Hahaaa! Juzi nimemkuta amerudi kazi yake ya u carpenter kijiweni kwake!! Anachongachonga vistuli na vimeza pale ila anasema angalau kidogo anapata dagaa za kupelekea familia! Makada wana hali ngumu uspime mkuu! Wanamkumbuka mzee lowassa alivyokuwa anawatoa kimango cha maana wanatamani kulia!!
 
Jamani kama tume ya uchaguzi si huru mbona iliwatangaza akina:-
(i). Mbowe kuwa wabunge na walikubali?
(ii). Mnyika kuwa wabunge na walikubali?
(iii). Zitto kuwa wabunge na walikubali?
(iv). Mbatia kuwa wabunge na walikubali?
(v). Lissu (mwanasheria nguli) kuwa wabunge na walikubali?
(vi). Mdee kuwa wabunge na walikubali? nk nk nk

Katiba mnaipima kwa nafasi zipi - zikiwahusu mnafumba macho?
Sawa! Ila ndege john kaamua kwa utashi wake kuwaachia chama lenu wauaji!! Kwani kuna nchi haina kipande cha lami au reli?
 
Mambo magumu mangi!! Ukizingatia wengi hawakuwa na kazi nyingine zaidi ya kupiga tantalila hapa na pale kisha jioni mnagawiwa visenti kidogo vya kujikimu,siku hizi wanabana mno mkuu!! Unamkumbuka Makusudically ? Hahaaa! Juzi nimemkuta amerudi kazi yake ya u carpenter kijiweni kwake!! Anachongachonga vistuli na vimeza pale ila anasema angalau kidogo anapata dagaa za kupelekea familia! Makada wana hali ngumu uspime mkuu! Wanamkumbuka mzee lowassa alivyokuwa anawatoa kimango cha maana wanatamani kulia!!
😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom