Swahilian
JF-Expert Member
- Apr 28, 2009
- 591
- 66
Allan Hope a.k.a Ras Mutabaruka(jam) Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba. Kwa kifupi hawa jamaa ni waghani na watambaji wa mashairi ya kimafunzo. Japo sina hakika kama wote ni Rastafarians kiimani, nina hakika juu ya Allan lakini sifahamu Mrisho. Pia wanafanana kwa mengi hawa watu, nafkiri yapo mambo ya kuiga,kujifunza na kujadili na pengine kujua au kuwafahamu zaidi. Peace n' love.