Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Go ahead, search na weka huo wasifu wake. Si lazima nifanye mimi. Hoja yangu ya kuanzisha thread ilikuwa kuona kama ni kweli nchi hii hakuna rushwa? Na ni kweli wapinzani wana ubaguzi.
Umeamua kutoka nje ya hoja. Yes, this is the Home of Great Thinkers! Should I say more?
kama ulikuwa na nia ya kuzungumzia ubaguzi wa upinzani na rushwa tanzania ulienda kui-search-ia nini picha yake na kutubandikia hapa?
na kilichokupa kuifuta baadae kitu gani?