I.
I. Sheria Sheria ya Usalama Barabarani, SURA168
84. " Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani, Sura, 168 ili kuongeza ukomo wa kiwango cha faini inayotozwa kwa kufanya makosa wakati wa uendeshaji gari barabarani (Traffic Notification Fee) kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 300,000"
UBISHIIII TUUUUUUUUUU!!!
This is dangerous especially for a corrupt police department like ours. Huu ni ulaji wa polisi wetu na itawaumiza wanaofanya biashara ya daladala ambao ni wabangaizaji tu
Labda ni typing error,tutasikia wakati wa kuijadili ukweli ni upi? hata hivyo ulaji kwa traffic umeshaanza kwani hivi sasa ukitanua ni rumande na kesho yake mahakamani,ukikosa fine unakula miezi 3-6! sasa hapo lazima utoe rushwa nonoUkisoma bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 inasomeka hivi .... 84. Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama Barabarani, Sura, 168 ili kuongeza ukomo wa kiwango cha faini inayotozwa kwa kufanya makosa wakati wa uendeshaji gari barabarani (Traffic Notification Fee) kutoka shilingi 20,000 hadi shilingi 300,000.
lakini cha kushangaza waziri amesema ni sh 50,000/- hii kali kweli kweli.... nilimsiki kwa masikio yangu!!