eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,656
- 13,798
jaman me naomba kuuliza,kwani utabiri ni uchawi?au wanaotabiri wanakuwa wachawi?
Swali zuri mkulu......
Watabiri wooote ni wachawi...... kwa maana wanashirikiana na Mashetani kueleza mambo ambayo yatatukia baadaye.....
Na ndiyo maana Mungu aliwaambia Wanawaisraeli kuwa asiwepo mtu yeyote anayetabiri kati kati yenu......
Halafu pia kuna kisa cha mtume Paulo kuhusu msichana fulani aliyekuwa akitabiri...... Soma Matendo mlango wa 16 kuanzia aya ya 15 na kuendelela..... utaona jinsi mapepo yanvyo tumika kubashiri mambo yajayo..... kwa hiyo hata huyo mtabiri wao anatumia nguvu za shetani....