Raisi kikwete atuitaji makapteni,brigedia, waala maluten wanafiki kwenye uongozi wa nchi hii!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Naweza sema kati ya mambo yanayomuwangusha rais kikwete ni kulipa fadhila kwa marafiki na
kujifanya muungwana kuwakumbuka marafiki zake walioteseka nae jeshini..na ndio maana wakati
anaingia mkuu wa majeshi akaondoka najua mnajua kilichotokea wakati akiwa jeshini kikwete
alidai mh yule alimtesa saana sana na sasa zamu yake aondoke yeye abaki yeye ama yeye abaki yule
baba wa watu akaamua kujiondokea akaingia mwamuyange ,,

narudi sasa kwa ndugu zetu wa chini wale wakaina kapten,luten brigedia..nani asiejua ma brigedia wangapi
na luten kapten leo ni wakuu wa mikoa wilaya na wengine wanapewa uwaziri wanajibu famba mbele ya waandishi
wa habari kama vile awaenda shule..nani asiejua jinsi waziri wenu wa nchi ofisi yawaziri mkuu george mkuchika alivyoaibika na mahakam kuu kwa kusema ati ...basiii mnajua majibu ya mahakama kuu kilichotokea arusha
hiizi ni moja ya takatakata kikwete amezikumbatia bila kujua madhara yake

nahisi ni wakati wa sasa kuchaguliwa watu waliokuwa na akili sahihi na kuachana na uongozi wa kipuuzi wa
mh,dk,brigedia kanali, yaani hivi vyote vyake mmoja....huu nii utumwa mh raisi atuitaji kuongozwa na wanajeshi usioogope kwa kuhofia watakugeuka la hasha tenda mema akuna atakaekugusa mafyoso wapo wanasubiri wapi utakosea ukazikwe jangwani..sipendi ikukute hivi na ndugu zako wakuage wakati heshima za dini yetu aziruhusu kabisa

naomba unapoendelea kugawa vyeo najua itafika utabadili uongozi kusema ahsante kwa waungwana lakini sio vyeo vinavyotutesa na watanzania kwenye sehemeu kama mkuu wa wilaya mkoa,waziri..embu toa hao malapu lapu wakina mkuchika tumewasikia tangu tunaakojoleshwa na wazazi kwenye ......leo hii tunakojoa wenyewe na bado viongozi

plss plsssssssssssssssssss kama umeshindwa madaraka waachie jeshi
 
Mkuu ila huwa nawe inakuwa ngumu kukuelewa! Waweza kuwa na points ila unatupiaga tu maneno,

Anyway noted, kweli anakosea mkuu wa Kaya
 
Back
Top Bottom