Rais Zuma Afukuza Mawaziri Watatu ndani ya wiki moja

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Rais wa Africa kusini Jacob zuma amewafukuza kazi mawaziri watatu wa fedha ndani ya wiki moja na kuteua mwingine huko ndiko kutumbumbua majipu halisia
Rais zuma amefanya hivyo baada ya fedha ya nchi hiyo kupoteza dhamani dhidi ya dolla ya marekani.
 
kuna taarifa zilikuwa zinatrend kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuwa zuma hafanyi kazi kama rais mpya wa Tanzania anavyofanya.kelele hizo za wananchi na kuilalamikia sana wizara ya fedha ya nchi hiyo akaamua kumpiga chini waziri wa fedha
 
Rais wa Africa kusini Jacob zuma amewafukuza kazi mawaziri watatu wa fedha ndani ya wiki moja na kuteua mwingine huko ndiko kutumbumbua majipu halisia
Rais zuma amefanya hivyo baada ya fedha ya nchi hiyo kupoteza dhamani dhidi ya dolla ya marekani.

Story Niko hivi, kiongozi,

Zuma amepoteza mwelekeo vibaya vibaya. Amepiga hela mpaka waliolala wameamka! Kuna matumizi ya anasa, kujenga mahekalu ya familia yake kuuuubwa, na kwenye nafasi nyeti anaweka marafiki/watu wake wa karibu. Shirika la ndege (South African Airways) liko taaban lakini mtu wake wa karibu anataka kuliingiza kwenye mkataba wa kifo kama ATC, kuna deal nyingine ya mambo ya nuclear na Urusi ambayo waziri wa fedha alikataa kuidhinisha. Baada ya kuona Waziri huyo wa fedha analeta 'unoko' akamtimua! Kosa!

Yote tisa, baada ya kumtimua waziri huyo wa fedha aliyekuwa anaheshimiwa na private sector, akamteua mtu ambaye hana sifa kabisa. Sasa hapo ndipo Wasouth wakaona Zuma anataka kuzamisha nchi, na sasa wameanza kampeni ya kushinikiza Zuma aachie ngazi. Zuma naye ameshtuka na amemtua waziri mwingine wa fedha kwa mara ya pili ndani ya siku 4! pitia DESPOT

Zuma ana wakati mgumu!
Sik
 
Hiyo nchi ingewachiwa makaburu tu, waswahili ngozi nyeusi taabu hadi kuzimu. Jamaa amejazana wake zake halafu juzi ametuhumiwa kumla mwanamke fulani mwenye ngazi ya juu serikalini.
 
kuna taarifa zilikuwa zinatrend kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuwa zuma hafanyi kazi kama rais mpya wa Tanzania anavyofanya.kelele hizo za wananchi na kuilalamikia sana wizara ya fedha ya nchi hiyo akaamua kumpiga chini waziri wa fedha[/QUOTE

na magazeti yao wanavyomwandika magufuli Mara kwa Mara inaonekana wanamsuta raisi wao kijanja.
Tanzania itakuwa imeanza kujulikana miongoni mwa watu weusi mana jamaa wako ignorant sana kuhusu mataifa mengine ya Africa hawayajui kivile mana wanajihesabu wao ndo matajiri Africa,kama wazimbabwe enzi izo.
 
Kwani na Cmrd Zuma nae ni mtu wa mipasho na kubembea!? Majanga!

Story Niko hivi, kiongozi,

Zuma amepoteza mwelekeo vibaya vibaya. Amepiga hela mpaka waliolala wameamka! Kuna matumizi ya anasa, kujenga mahekalu ya familia yake kuuuubwa, na kwenye nafasi nyeti anaweka marafiki/watu wake wa karibu. Shirika la ndege (South African Airways) liko taaban lakini mtu wake wa karibu anataka kuliingiza kwenye mkataba wa kifo kama ATC, kuna deal nyingine ya mambo ya nuclear na Urusi ambayo waziri wa fedha alikataa kuidhinisha. Baada ya kuona Waziri huyo wa fedha analeta 'unoko' akamtimua! Kosa!

Yote tisa, baada ya kumtimua waziri huyo wa fedha aliyekuwa anaheshimiwa na private sector, akamteua mtu ambaye hana sifa kabisa. Sasa hapo ndipo Wasouth wakaona Zuma anataka kuzamisha nchi, na sasa wameanza kampeni ya kushinikiza Zuma aachie ngazi. Zuma naye ameshtuka na amemtua waziri mwingine wa fedha kwa mara ya pili ndani ya siku 4! pitia DESPOT

Zuma ana wakati mgumu!
Sik
 
Na hili jambo la kuteua watu wa tatu tofauti katika kipindi kifupi sana inaleta maswali kama Zuma ni kiongozi makini
 
Story Niko hivi, kiongozi,

Zuma amepoteza mwelekeo vibaya vibaya. Amepiga hela mpaka waliolala wameamka! Kuna matumizi ya anasa, kujenga mahekalu ya familia yake kuuuubwa, na kwenye nafasi nyeti anaweka marafiki/watu wake wa karibu. Shirika la ndege (South African Airways) liko taaban lakini mtu wake wa karibu anataka kuliingiza kwenye mkataba wa kifo kama ATC, kuna deal nyingine ya mambo ya nuclear na Urusi ambayo waziri wa fedha alikataa kuidhinisha. Baada ya kuona Waziri huyo wa fedha analeta 'unoko' akamtimua! Kosa!

Yote tisa, baada ya kumtimua waziri huyo wa fedha aliyekuwa anaheshimiwa na private sector, akamteua mtu ambaye hana sifa kabisa. Sasa hapo ndipo Wasouth wakaona Zuma anataka kuzamisha nchi, na sasa wameanza kampeni ya kushinikiza Zuma aachie ngazi. Zuma naye ameshtuka na amemtua waziri mwingine wa fedha kwa mara ya pili ndani ya siku 4! pitia DESPOT

Zuma ana wakati mgumu!
Sik

Zuma na JK ni kama mapacha. Wamepewa vichwa lakini huko ndani ya hivyo vichwa mola ndo anajua alichoweka
 
Back
Top Bottom