Rais ya Moyo wangu

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Rais wa moyo wangu Dr W P Slaa hakika natamani kesho ifike nipate speech yake kwani ni Faraja sana kwangu na wanyonge wenzangu.NAOMBA RAIS UTUSAIDIE KUHOJI PIA NOTI MPYA NA ZA ZAMANI HATMA NI NINI?,UTAJIRI WA RIDHIWAN NA NYUMBA YAKE YA KIFAHARI MIKOCHENI A.
 
Kweli,naimani ataibua mengi sana yaliyofichika maana sa hivi ni twanga kotekote!mawe yote awamu hi lazima yageuzwe!nawatakia kilala heri huko kusini.Jitokezeni basi
 
Eti Riziwani kasema yuko tayari kutoa ushirikiano kuhusu kutaja mali zake, jamani si kutudanganya watanzania? Jumba la kifahari mikocheni A halafu anasema yeye hajaiba?
 
Back
Top Bottom