Rais William Ruto atinga saa ya mkononi yenye thamani ya Shilingi milioni 111.

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
Rais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya ambazo ni sawa na milioni 111,565,761 pesa za Tanzania.
View attachment 2717105
20230814_135802.jpg
 
Kwani mshahara wake hautoshi kunujua hiyo saa? Msiwashushe sana watu wenye hela zao
 
Serikali ndo imenunua
Kama wanajengewa majumba ya mabilioni kununuliwa magari ya mamilioni itashindwa kuwanunulia saa? Ikiwa sofa mashuka vitanda maji chakula hadi pasi ya kunyoshea nguo serikali inanunua?
 
Back
Top Bottom