sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Nafatilia kwa umakini sana huu mkutano wa mwaka wa AfDB.. Benki ya maendeleo ya Afrika.. Ninachoshangaa ni muheshimiwa rais wangu Dk. JK toka wenzake waanze kutoa hotuba ye yuko bize kuandika. Sijajua kama anatake note au vp.. Kama ndvyo nini kazi ya sekretari wake? Yaani sikuona concentration yake kama wengne..
Hebu nisaidiane wadau, maana wengne ndo tunajifunza kupitia kwao kwenye mikutano mikubwa kama hii! Na sasa anatoa hotuba yake..
Yule rais wa AfDB.. Kahutubia pasipo kusoma sehemu, very smart man.. Good analysis, excellent presentation.