Wana-JF hebu angalieni hii katuni iliyochapishwa katika gazeti la The Citizen la Jumamosi tarehe 14 July, 2012 ambayo inawaonyesha marais walioko madarakani kwa sasa na kila mmoja na utambulisho wake (icon).

Katika wote hao pamoja na Dhaifu zao, Kagame is the best selection; Jamaa hanaga maneno mengi, yeye ni kwa vitendo tu! Na hio icon ya ukabila naona kama hajatendewa haki, kaweza kuona beyond that. Asikwambie mtu, kuweza control na kuwaweka sawa raia ambao wamegawanyika katika two conservative groups sio lelemama.. na yeye hilo kafaulu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.