Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

Siku zote ukiongea public mpinzani wako msifie ili aendelee kuwa katika comfort zone madhaifu yake unaenda kumuonyesha uwanjani.

Yanga wanafahamu Ahly ni timu kubwa ila Wana udhaifu kama Timu, wanachokwenda kufanya ni kwenda ku expose udhaifu wa Ahly.
Kwa hersi anaijua Ahly Ila shabiki hawaijui?😁
 
Engineer Hersi akili kubwa. Sasa wewe bumunda kwa akili yako kusikia anawapamba wapinzani wake kwa kuwapumbaza ukajua maneno yanatoka kwenye ukweli?. Mashabiki wa Simba mnakuweje wengi ni mikurupuko hivyo kama mropokaji wenu?. Umekuwa mbumbumbu kiasi huelewi hata Hersi anaongea lugha gani ya kiushindani?.

Halafu cha kushangaza inakuweje nyie kenge wa red hamuwezi kutulia na timu yenu? Kutwa ni YANGA. Mnajisikiaje?
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.

Uyu ni mbumbu hajui mjinga mpe cheo
 
Umewahi kusoma Fasihi mkuu

Hivi mlienda shule kusomea kitu gani?

Lugha aliyoongea Bwana Hersi inafundishwa darasa la sita na darasa la saba

Usipende kuchukulia kila jambo kama lilivyo inabidi uchanganye na akili zako binafsi

Kwa hiyo Ali Kamwe akisema watu waje uwanjani bila kuvaa nguo yaani uchi wa mnyama wewe utaenda bila kuvaa nguo?

Hiyo ni fasihi mkuu,Rudi tena shule ya msingi

Haekewi rhetorical questions uyu bwege
 
Huyo sio mbana pumua Ahmedy Ally, alichokisema Hersi ndio uhalisia wa mpira ulivyo.... Mpira ni uwekezaji sio blablaaa za Tz. Mchezaji mmoja wa wasandawane kama Wende amenunulia zaidi ya 7B ambayo ni matumizi ya mwaka mzima ktk vilabu vyetu... Kule Aly Ahly ndio kabisa n hatarii. Kajibu kikubwa na ndio uhalisia... Yanga hatujafikia kuwa na msuli wakupambana na hawa magiant labda itokee km tunavyosema mpira unadunda.
 
Ndio maana kaliachwa.Kanamtukana mpaka baba yake anayeishi Arusha.
Mimi nimekakubali kalivyomsiliba huyo ndugu yenu, maana alitaka kuleta upopoma fulani! Kaliachwa au kenyewe ndiko kalimwacha jamaa kwa vile alikuwa hajitambui?
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Pale utopoloni ni mtu 2 tu wenye akili.kaongezeka na injinia,na gamond na msigwa.wengine endeleeni kutumia dozi
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Alijisemea Ally Kamwe, MJINGA MPE CHEO..!!
 
Madunduka ni mbumbumbu kabisa ndio maana timu imeuzwa pamoja na wao kwa kanjubai bila kujijua
 
Unakumbuka tambo za Ahmed Ally mapinduzi? Wengi walimwangushia jumba bovu kwamba yeye ndio kawaponza wakafungwa na Mlandege.

Maneno na tambo kabla ya mechi ni kuvichagua kwa umakini sana, unaweza kupigwa ukadhalilika.
Uto, mna hasira sana.

By the way mimi naona Eng. Hersi alisimama na kuongea kama Mwenyekiti wa Vilabu vyote Afrika.
 
Tulia wewe kolo, Ahly na uwezo wao walifungwa na bingwa wa shirikisho ambaye sisi tulimtoa jasho Usm Alger.

Halafu hii ni mechi ya waliokwisha kufuzu, hamishieni nguvu zenu kwenye kutafuta nafasi ya robo fainali tafadhali.
mbona wewe ulipigwa na ihefu,,mkuu mpira wa miguu una maajabu na hautabiriki thus why mikeka inachanika kajiongeze upya
 

Attachments

  • Screenshot_20240229_180933_Instagram.jpg
    Screenshot_20240229_180933_Instagram.jpg
    542.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom