saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,157
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?

Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na imeonekana ni kweli. Bei mpya tumeisikia imepanda sana kwa zaidi ya sh. 30.

Wafanyabiashara walijuaje itapanda hivi? Lazima kuna wafanyakazi wa EWURA walishatoa mkeka kabla, rais yuko likizo.

Haya tena Geita jana halmashauri ya mji wodi zimefungwa kisa hakuna dawa, na Waziri wa Afya yuko likizo?
 
Wakati wa Nyerere na waliomfuatia nasikia kulikuwa na matatizo zaidi ya upungufu wa madawa na mafuta jee hao nao walikuwa wanawake wa kiswahili.
Upungufu wa madawa na mafuta na vitu vinginevyo vilisababishwa na ukosefu wa fedha za kigeni baada ya vita na Iddi Amin wa Uganda !!

Mwalimu alikataa kushusha thamani ya pesa ya Tanzania ili akopeshwe fedha za kigeni na IMF !!
 
Back
Top Bottom