Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

Niliwahi kuandika uzi huku kupendekeza Rais awe anasimulia ndoto zinazohusu mambo makubwa ya nchi ili zitafsiriwe lakini likapuuzwa.Ila naona,"sikio la kufa halisikii dawa",kuja kushtuka limeshakufa.
Niungane na wewe kabisa....wanaota ndoto ngumu mno ila sijui wanawasimulia kina nani (maana haiwezekani kusimulia umma mzima) lakini viongozi wengi wa dini eti nao ni TISS hivyo sijui kama tafsiri zinakuwa sawa.
Oukey: NB: USIMSIMULIE NDOTO NGUMU MTU ANAYEKULA POSHO UMPAYO WEWE MWENYEWE, ATATOA TAFSIRI POTOFU....TB JOSHUA ALIMUONYA KIONGOZI FULANI WA BARA LA AFRICA ILA AKAKATAA AKAISHIA KUFARIKI JAPO KIFO SIO ADHABU ILA KAZI MAALUMU ALIYOPEWA KUIMALIZA ILIKOMEA PALEPALE.
 
Issue ni kukubali kuwa kama kuna mambo ya kipumbavu ya kishetani lakini yapo kweli na huwa yanatokea, sio watu wote wamejaaliwa uwezo huo wa kuyaona, hivyo nakushauri usiwadharau watu wenye uwezo huo wanapojitokeza kusaidia kushauri!. Swali la kukuuliza wewe ni moja tuu, "jee unamjua TumainiEl ?, unaujua uwezo wake?. Kama humjui na huujui uwezo wake, nakushauri mtembelee humu umjue!.

Ni kweli Rais Samia ana watu wa kula aina wa kumsaidia, swali ni jee hao watu wa kila aina wa kumsaidia waliopo, 1. Wanauwezo wa kunsaidia?. 2. Wanamsaidia?. Hata JPM alikuwa na watu wa kila aina wa kumsaidia, jee walikuwa na uwezo huo wa kumsaidia?, jee walimsaidia?. Msidharau watu!.

Tofautisha wapiga ramli na watu waliojaaliwa maono!.

Tunawajua waliomtuma?. Msilete dharau!.

Hata JPM, watu walimpenda sana, na walimuombea sana awe na Afya Njema... lakini...

P
Kila nikikichungulia kiti kwa mbali naona kuna mwanamke amekikalia ila sura siitambui, nikisongelea niitambue sura yake mara anakikimbia kiti kinabaki patupu. Swali; hatawali yeye?
 
Acha Acha Acha Acha......
Acha kumtisha Rais na mambo ya kishetani na kipumbavu.
Rais ana watu wa kila aina wa kumsaidia, hahitaji mtu kama wewe mpiga ramli.
Waambie na waliokutuma, mmeshindwa.
Mimi namuombea Rais SAMIA awe na afya njema, nampenda sana.
Kanywe nae chai
 
mwandishi unamjua?
waliomtuma unawajua?
 
Mh Rais Samia Shikamoo.

Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara.

Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mingi inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa langu. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiyadharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa au usiku wa manane.. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika.

Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen 🖊️ u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa na hukutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo. Naikikupendeza watumie majasusi wetu kupata ukweli wakile kinaendelea kama nimapicha ama nikitugani sisi tulioko nje hatuoni dalili nzuri.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama nionavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara. Mbaya kuliko yote nikukosa nguvu yakufanyia manunuzi ya nje ambapo deni letu ktk USD litakiwa likikwangua ukwasi wa fx ktk hazina yetu. Jambo hili litaleta hatari kubwa kwasababu kama huna mavuno yakutosha maana yake huna chakula jambo litakufanya nunua chakula nje. Kumbuka BOP yetu is not balance means exp is low over importation which is high.

Mh Rais ipo siku utapokea wajumbe, wajumbe hawa hawatokuwa watu wakawaida na watakuja nyakati either ya asubuh au mchana kwenye kati ya mwaka 2024 mwisho au 2025. Mh heshimiwa haya ni maono yangu na sitaki kuamini kama nikweli itatokea ama laa. Ila ushauri wangu yasikilize maneno yao ukamuombe Mungu akusaidie kutegua kitendawili amabcho ktk hali ya kibinadam kitakuwa kigumu sana ila kitakuwa na fumbo la hatima ya Tanzania yetu. Usisahau kusema Asante kwa Mungu maana ndie sababu ya kuwepo kwetu sisi wanadam.

Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
Shida ilo jicho la tatu anaweza kulifungua , kufungua jicho la tatu sio kazi nyepesi ,au tunaongea kinadhalia na kufuata Maisemore ya wahenga
 
Ndugu wakigombana wewe shika jembe kalime
IMG-20191216-WA0001.jpg
 
Nimeipenda sana hii NB yako maana hata kwenye vitabu vya dini kuna watu walikataa kula chakula cha mfalme na wakaweza kutafsiri ndoto na maono yote kwa usahihi na kumweleza mfalme kwa ujasiri.
 
kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa
Porojo zote intention yako yote hii hapa! Ungesema tu direct

Lakini awamu zote zilikuwa zimefanya huu mchezo wa kulaumiana na kuanza kusemana indirectly, tumwache mama afanye yake
 
Mh Rais Samia Shikamoo.

Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara.

Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mingi inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa langu. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiyadharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa au usiku wa manane.. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika.

Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen 🖊️ u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa na hukutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo. Naikikupendeza watumie majasusi wetu kupata ukweli wakile kinaendelea kama nimapicha ama nikitugani sisi tulioko nje hatuoni dalili nzuri.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama nionavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara. Mbaya kuliko yote nikukosa nguvu yakufanyia manunuzi ya nje ambapo deni letu ktk USD litakiwa likikwangua ukwasi wa fx ktk hazina yetu. Jambo hili litaleta hatari kubwa kwasababu kama huna mavuno yakutosha maana yake huna chakula jambo litakufanya nunua chakula nje. Kumbuka BOP yetu is not balance means exp is low over importation which is high.

Mh Rais ipo siku utapokea wajumbe, wajumbe hawa hawatokuwa watu wakawaida na watakuja nyakati either ya asubuh au mchana kwenye kati ya mwaka 2024 mwisho au 2025. Mh heshimiwa haya ni maono yangu na sitaki kuamini kama nikweli itatokea ama laa. Ila ushauri wangu yasikilize maneno yao ukamuombe Mungu akusaidie kutegua kitendawili amabcho ktk hali ya kibinadam kitakuwa kigumu sana ila kitakuwa na fumbo la hatima ya Tanzania yetu. Usisahau kusema Asante kwa Mungu maana ndie sababu ya kuwepo kwetu sisi wanadam.

Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
The man who see today
 
Mh Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa nakutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.
 
Umeandika vizuri ila huyo Bibi uwezo wake ni mdogo sana, she is just a wife not a leader material
 
Mh Rais Samia Shikamoo.

Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara.

Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi wakuu wakitaifa wala Sina elimu ya siasa ukiacha elimu nyingine za Dunia na mambo ya uchumi pia na karama ambayo nimezaliwa nayo yakuona kesho au miaka mingi inayokuja samahani lakini sijisifu nikipaji nimeona Mungu kanipa kwa faida ya Taifa langu. Nikipaji ambacho duniani kwa sasa ndio Habari ya mjini uwezo wakuiona kesho nakufanya maamuzi leo au maandalizi leo kabla ya kesho au siku yatukio.

Viongozi huwa na maono pia viongozi huwa na ndoto. Yes huwezi kuwa kiongozi usiwe na ndoto au vision hivyo kwa makala hii leo nakushauri usiidharau ndoto unayo iyota. Narudia tena samahani Mh Rais nakushauri usiidharau ndoto unaiyota na usiyadharau maono unayo yaona hasa wakati wa mchana au kwenye halaiki au kwenye mikutano ya Siri ya kitaifa au usiku wa manane.. Unaweza sema anasema Nini huyu mtoto? Mh Rais nakupa mfano unaweza ukawa imeingia kwenye mkutano nyeti wa kitaifa na mara ghafla ukaona Giza wakati ni mchana na taa zina Waka kama ni usiku Umeme haujakatika.

Rais Giza Hilo lina maana kubwa sana usisema labda uchovu au usingizi nop hapo Kuna shida. Badala yakuendelea na kikao ingia chumba cha Siri muombe Mwenyezi Mungu na utashangaa majibu utayapata. Mfano mwingine unaweza ukawa umeletewa file na kila kitu unaona kipo poa ila shika pen 🖊️ u sign mkono mzito Mh Rais usi sign nakuomba usi Sign hapo Mungu anakushitua kitu na ukitaka prove muite mtu wako wa siri mpe kurudia ile kazi kwa siri na utashangaa majibu utakutana nayo. Usishangae huwo ndio uwezo wa Mungu kwa viongozi.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiti umekikalia sio kiti cha kawaida. Nikiti kizuri chenye utukufu wahapa duniani ila sio ahera. Nikiti kinawala walio kikalia na kuwakausha wanao kigusa kwasababu kina Mamlaka na mwenye Mamlaka nialie kikalia sio anaye kibeba. Unapo ingia Ikulu jiulize wangapi wamekikalia na kwanini wewe umekikalia ili Mungu wako akuonyeshe Yale sisi atuwezi kuyaona ila Wewe tu ulie kikalia. Mh Rais Taifa hili ni kubwa na maoni yangu kutoka sasa embu jaribu kushirikisha jicho la Tatu kwasababu Mimi kwa Imani yangu Nina amini haupo hapo kwa bahati mbaya ila kwa kisudi la Mungu kwa watanzania.

Rais haitowezekana wewe kuwa na Rafiki wa kweli ila wengi nikujikomba na kukulamba miguu wapate mkate wao wasiku wanaweza hata kuvua nguo nakujigarakaza Samia hakuna kama wewe na hata kufikia kusema hata Mungu anajuwa hakuna kama wewe hawa hawa ukiwaona ingia vyumba vya Siri wakabidhi kwa Mungu na umuombe ukuthibitishie semi zao nataka kuhakikisha utakachokiona utaogopa na hukutegemea maana matendo yao na wanachokifanya gizani hata mchawi hawamfiki. Jicho la tatu. Jicho la tatu.

Rais kama yupo mwanasiasa, marafiki au mtu mwenye nguvu ktk siasa zako anakushauri eti kurusha mawe na vijembe na dhihaka kwa awamu ya Tano ndio njia yakupanda kisiasa Mh Rais nakuomba uyatafakari hayo mara Saba sabini sioni picha nzuri kwa wimbi hili na kama nakosea basi pia naomba radhi Mh unaweza kuachia hiyo hali ila kwa maono yangu vile Mungu ananionyesha usipo dhibiti huu upepo mwisho hautokuwa mzuri kama Taifa na hata mpaka sasa naona mpasuko mkubwa unataka kulikumba Taifa kwa kujadili mambo ya awamu ya Tano. Lakini Siri zote mnazo na ukweli wote mnao je mtatengeneza uwasi ndani ya serikali ile ile unaiongoza? Nakama ndivyo Nini kitatokea? Jibu lipo kwenye kuangalia mambo ktk jicho la tatu.

Mh Rais ufa WA Muungano NAUWONA uleeee NAUWONA ulee pale nakusii shirikisha jicho la tatu. Wakati German na Russian wanagonga mvinyo nakufurahia Nodsrim 2 Marekani KUPITIA shirika lake la ujasusi alimuonya German na Ulaya yakuwa Hilo Bomba linaenda kuanzisha vita na hicho ndicho kimetokea. Mh Rais sio kila project ni ya maendeleo ila zipo project usipo shirikisha jicho la tatu utatuacha na tatizo miaka michache ijayo tafakari ktk Hilo. Naikikupendeza watumie majasusi wetu kupata ukweli wakile kinaendelea kama nimapicha ama nikitugani sisi tulioko nje hatuoni dalili nzuri.

Mh Rais wasaidizi wako au watu umewachagua sio rafiki zako ila umewachagua kwa minajili kuwatumikia watanzania. Mh Rais vilio na kelele unazisikia sio ndoto ila nikweli embu jaribu pitia vyema report za watu wako wa siri mara mbili mbili na mapendekezo yao. Chambua mara kuchambua kelele unasikia sio kelele za artificial ila niukweli ambao usipo fanya hard decision leo au kesho itakusumbua mbeleni lakini sio lazima kutekeleza.

Mh Rais je unafurahia government expenditures ilivyo Kaa kwa sasa? Embu fanya analysis ya posho,safari na salary bila kuweka gharama ya maintenance za Mali za serikali Kisha uchukue hatua ipo haja chukua hatua ama nionavyo mm base on project serikali inazo mbele uchumi utakuwa kwenye mkwamo hasa hali ya sasa ya vita isipo pata usuluhishi mapema nchi zetu serikali msipo anza funga mkanda mtashindwa kuajiri na pia mtashindwa lipa mishahara. Mbaya kuliko yote nikukosa nguvu yakufanyia manunuzi ya nje ambapo deni letu ktk USD litakiwa likikwangua ukwasi wa fx ktk hazina yetu. Jambo hili litaleta hatari kubwa kwasababu kama huna mavuno yakutosha maana yake huna chakula jambo litakufanya nunua chakula nje. Kumbuka BOP yetu is not balance means exp is low over importation which is high.

Mh Rais ipo siku utapokea wajumbe, wajumbe hawa hawatokuwa watu wakawaida na watakuja nyakati either ya asubuh au mchana kwenye kati ya mwaka 2024 mwisho au 2025. Mh heshimiwa haya ni maono yangu na sitaki kuamini kama nikweli itatokea ama laa. Ila ushauri wangu yasikilize maneno yao ukamuombe Mungu akusaidie kutegua kitendawili amabcho ktk hali ya kibinadam kitakuwa kigumu sana ila kitakuwa na fumbo la hatima ya Tanzania yetu. Usisahau kusema Asante kwa Mungu maana ndie sababu ya kuwepo kwetu sisi wanadam.

Mh Rais naomba niishie hapa kwa leo nitaendelea ikimpendeza Mungu. Asante
Duh!
Hivi kweli Mh. Huwa anapita JF au alitudanganya kipindi kile kwamba huwa anapita-pita?!
Yaani mtu unapewa ushauri, halafu unashindwa kuufanyia kazi,.matokeo yake ndo haya sasa unayoyalalamikia.
Ahsante sana ndugu yetu mpenzi TumainiEl, usisite kutujulisha maono mengine Mungu akikuonesha.
TumainiEl
 
Jicho la tatu🤐🤐🤐
 
Mpiga ramli umejipeleka msambweni....

Hivi umezaliwa 2023?!!!

Kama sivyo....

Hukuviona vijembe vya awamu ya 5 kwa awamu ya 4?!!!

Hukuvisikia vijembe vya awamu ya 4 kwa ya 3?!!!

Wakubwa wetu hawakutuhadithia vijembe vya baba wa taifa kwa awamu ya 2?!!!

Kwa mawanda haya....hoja yako inakuwa ni hofu tu,hisia tu ,mapenzi tu kubwa zaidi "OBSESSIONS" zako unazotaka kuziwamba UHALISIA kinyume kabisa na ukweli....

Siasa hazikuanza jana....

Baba wa taifa aliwapiga vijembe akina Oscar Kambona sembuse hizo "obssessions" zako ?!!!

#SiempreJMT
Wewe ni mpumbavu rasmi Magufuli hakuwahi kuongea vijembe!
Tofautisha vujembe na uhalisia.
Magufuli hakuwa mnafiki.aliongea alichokikuta ...
Huu uozo wa sasa gata Rais atakayefuata baada ya Samia lazima atafumua mengi sana.
Yakiwemo ya Abdul na mama yake....
Acheni upuuzi wenu wa uswajili swahili nyau nyie!
 
Back
Top Bottom