Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

Kuna mmoja aliwahi kuitwa mungu sijui kama kuna kutukuka kunakomzidi huyo bwana.
 
Hata hili nalo ni kosa la Magu (R.I.P.) pia ? I mean sasa yeye ataanza lini labda kuwa responsible kama kila kitu ni siyo mimi, si mimi, si mimi, ni yule …
Itachukua miaka mingi sana kuondokana na legacy ya jiwe, haitakuwa muda mfupi.
 
Familia inayolelewa Kimama-mama siku zote tabia zake zinajulikana, sasaaa mkae kwa kutulia mtakuja kuzinguliwa
 
Hepi besdei le présidante
wasafifm~p~CZOrWONsefq~1.jpg
 
Kuna jamaa yetu anaitwa tindo yeye hadi alihama na chama kabisa kutoka kumshabikia Lisu hadi kumshabikia hangaya!

Ngoja wanyooshwe vizuri, huku kina nape wakila kwa urefu wa kamba zao mpka zinakatika.
Huyu mama amekuwa li Mungu la Tanganyika. It is a shame hairdo kwao, ni Rais wa maisha huyo. Ndugai ameondolewa maana Angelina hiyo. Katiba itabadilishwa na bunge,
 
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.

Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?

Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.

Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.

Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.

View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Ukosefu wa akili
 
Nimeshangaa sana akili ndogo kuongoza akili kubwa, hajahitimu hata elimu ya kidato cha sita ila watu na phD zao wanachezeshwa rede.

Hakika leo ndio nimeamini alikuwa akiichukia sana ile nafasi ya umakamu, sio kwa mapambio haya niliyoshuhudia siku ya leo.
kwani kua na PhD hizi za kukariri ndo kua na akili kubwa? Maprofesa wangapi wamepewa nafasi katika sector mbalimbali nchi hii wamefanya nini?
 
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.

Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?

Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.

Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.

Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.

View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Hii sio sawa ila ni vile watendaji huwa wanafanya mambo ya kijinga Ili kujipendekeza na pia kudhani wanamfurahisha mfalme..
 
Wimbo maalumu kwa Kaizeri wa Udachi

Uimbo wa Kaizari (‘Song for the Kaiser’)10 Mbaraka bin Shomari (c.1897)

(1) Salam kwa wetu bana, Kaisari wa Virhamu,(1) Greetings to our Lord Kaiser
Wilhelm.
Bana mkubwa na sana, maarufu hatta Shamu.He is our great Lord well known even in Syria.
Sisi takupenda sana, wadogo hatta harimu:We like you very much both young and old:
Hapana tena hapana, wewe ndio
Kaizari!
There is nobody else. You are the Kaiser!
(2) Wewe ndio Kaizari, mtoto wa
Virhamu;
(2) You are the Kaiser, son of
Wilhelm11
Jina lake mashuhuri, sote tunalifahamuHis famous name, we all know it:
Ulaya na Zingibari, na Mrithi hatta AmuFrom Europe to Zanzibar, and from Egypt to Lamu:
Hapana tena hapana, wewe ndio
Kaisari!
There is nobody else. You are the
Kaiser!
(3) Wewe ndio Kaizari, hatta na wazee wako!(3) You are the Kaiser. Even your forefathers!
Tumezipata habari, kwa huku mbali tuliko.We’ve got the news, far away, where we are.
Una wengi askari, wahesabiwa lukukuYou have a lot of soldiers.
They number in hundreds of thousands.
Hapana tena hapana, wewe ndio Kaizari!There is nobody else. You are the
Kaiser!
(4) Kaizari ya Wadachi, na barra ya
Afrika.
12
(4) Kaiser of the Germans, and of the African continent
Nakusifu, bwana wangu, upate kunipulikaI praise you, my lord, that you may hear me.
Niletee langu fungu, nipate kufurahikaGive me my share, so that I may be happy:
Hapana tena hapana, wewe ndio
Kaizari
 
Àbsolutely ridiculous!
Hawa wanataka kutuletea uduanzi ule WA kusujudu na kuabudu, shenzitaipu!
 
Lazima mumheshimu akili ndogo mwenzenu, si unajua akili ndogo na akili kubwa hazikai pamoja?
Sawa sawa Tanzania one (t.o); hv uko wapi vileee siku hizi maana pale ikulu yule mwenye akili ndogo anajaribu kukuangalia mpaka kwenye bustani lkn hakuoni?!!
 
Mbaraka bin Shomari (1897)

9) Wakatabahu khadimu, Mimi kijitu fakiri.(9) This was written by a servant,
I’m an unimportant, poor person
Jina langu mwalimu, Mbaraka bin Shomari.My name is Mwalimu, Mbaraka bin Shomari.
Nimesifu mwazzimu, Mfalme akhiyariI’ve praised the Great, the beloved Kaiser —
Hapana tena hapana, wewe ndio
Kaizari!
There is nobody else. You are the Kaiser!
11Mbaraka bin Shomari
 
Back
Top Bottom