mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,843
- 3,128
Nikwambie Rais Samia ya kwamba January Makamba na management nzima ya Tanesco ndio imesababisha hii adha ya umeme tuliyonayo sasa, kwanini unaona aibu kusema hadharani failure ya waziri na management nzima?
Kama ni suala la kukarabati miundo mbinu,Kulikuwa na haja gani ya kumuondoa mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi mkuu?,si wamefanya vizuri, kwanini uwaindoe?,si wamalizie mission?
Waziri aliyekuwepo ndugu January Makamba alisingizia kila aina ya visingizio, mpaka ikafika mwisho wa uongo, kwakua ni mtoto pendwa umemnusuru
Ndugu Rais Samia werevu tunaelewa,shirika lingefia mikononi mwa hao. Wateule wako,umewahi kuwanusuru na aibu,japo wameipata