Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Salaam

Kitendo cha Kumnyeshwa Mwanaume Juice kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuuliza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
Hanatafuta pesa kwanza..
 
Nothing wrong kabisa hapa na wewe mtoa hoja kuingiza udini hapo nimekuona ni wa ovyo kabisa, President Samia ni mwislamu (Imani yake)mimi ni mwabudu mizimu yangu (ni haki yangu),but President ni wa wote watanzania regardless Imani zao,never ever uingize udini kwenye issue kama hizi za wote, unataka kuniambia kuwa Waislamu ndio wanalea wenye tabia nzuri tu?,President Samia endelea kufanya kazi ni hii clip hakuna kibaya hapo!
 
What if Rais wa Msumbiji ana ugonjwa wa ini (Hepatitis B)?


What if Rais wa Msumbiji akaanza kuumwa let say wabaya wake wakamtenda vibaya huko msumbiji, si itaonekana sisi ndo tumemtenda?
Kwani mama na yeye hakuinywa hiyo juice?
 
Nothing wrong kabisa hapa na wewe mtoa hoja kuingiza udini hapo nimekuona ni wa ovyo kabisa, President Samia ni mwislamu (Imani yake)mimi ni mwabudu minimum yangu (ni haki yangu),but President ni wa wote watanzania regardless Imani zao,never ever uingize udini kwenye issue kama hizi za wote, unataka kuniambia kuwa Waislamu ndio wanalea wenye tabia nzuri tu?,President Samia endelea kufanya kazi ni hii clip hakuna kibaya hapo!
Huyo ni mke wa mtu!
 
Back
Top Bottom