Rais Samia: Hayati Mwinyi alihimiza Uwajibikaji siyo kila siku kuorodhesha Matatizo ambayo tayari Wananchi wanayajua!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Rais Samia amesema hayati Mwinyi alikuwa baba wa Demokrasia aliyeamini katika Uwajibikaji na Uzalendo

Mzee Mwinyi alisisitiza sana katika Uwajibikaji kila mmoja Eneo alipo badala ya kila Siku kuorodhesha Matatizo ambayo tayari Wananchi wanayajua

Source: Upendo TV

My take; Nadhani Chadema watajifunza
 
Hadithi ya maisha ya mzee mwinyi ni ya kufurahisha sana , ni mtu mwenye bahati sana. Maisha yake ya kisiasa ni hadithi ya kusisimua sana. Kutoka kujikwaa na kuanguka kabisa( kujiuzulu Uwaziri) ,kutokukata tamaa kusimama na kuendelea kukimbia na kushinda shindano(kuwa Rais). Kama Dkt.Hussein Mwinyi asipokuwa Rais Bara, historia ya mzee mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na JMT haitakuja kuvunjwa kamwe, narudia kamwe. Ni mtu mwenye bahati sana
 
Back
Top Bottom