Rais Samia azindua daraja la Msingi na kuzungumzia na wananchi wa Mkalama

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023.

Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na Simiyu na mikoa mingine inayounganisha ya Mara Arusha. Takribani Tsh. Bilioni 11.1 zimetumika katika kufanikisha ujenzi huu.

===​
Rais Samia asema daraja hili ni kiungo muhimu kati ya kanda ya kati na nchi za Afrika Mashariki hususani mpaka wa Sirali. Ametoa wito kwa wananchi kufanya kazi kwa bidii ili kuchochea maendeleo yao, pamoja na kutunza madaraja hayo kwani yanajengwa kwa gharama kubwa.

Amewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mvua kubwa za El Nino zinazotarajia kuwepo baadae mwaka huu.
 
ni faraja kubwa sana Rais Samia anayowapa watanzania, ilani ya CCM na ahadi zinatekelezwa kwa kiwango cha juu sana
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023.

Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na Simiyu na mikoa mingine inayounganisha ya Mara Arusha. Takribani Tsh. Bilioni 11.1 zimetumika katika kufanikisha ujenzi huu.

===​
Rais Samia asema daraja hili ni kiungo muhimu kati ya kanda ya kati na nchi za Afrika Mashariki hususani mpaka wa Sirali. Ametoa wito kwa wananchi kufanya kazi kwa bidii ili kuchochea maendeleo yao, pamoja na kutunza madaraja hayo kwani yanajengwa kwa gharama kubwa.

anaendelea kuupiga mwingi sio
 
Back
Top Bottom