Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
30172c48-94e5-49a1-935a-bdf1af36c15a.jpeg

126d73e0-a563-4279-86c0-09d1043ff50f.jpeg

925e81c9-d551-447d-a3a0-2ecb2f692118.jpeg
 
Makonyagi na yule mwizi wa magari wamewahi ili waonekane kwenye taarifa ya habari ya itv 😂😂

Karibu MH Samia Raisi wa jamuhuri ya muungano
 
Umma ukadanganywa kua kasitisha ziara ili awahi janga la Kateshi.

Siku 4 baadae ndio anarejea nchini!!

Yule mwingine ambae anaficha mvi zisionekane hata moja,akaibuka kudanganya kua Makamo yupo kazini!!

Mtu ambae anaficha hata mvi zake,ndio anaweza kuongea ukweli?!! Kasahau kwa Magufuli pia alitolewa chambo adanganye,huku Mama akiwa ziarani mkoani Tanga na hatimae kikaumana nusu mlingoti!!
 
Wanasiasa UCHWARA ndiyo Muda wa kujipitisha..... Huu Mama awaone...😆
 
Kwani mpaka leo hajafika?

Nimesoma humu tangu jumapili asubuhi kwamba ameahirisha ziara yake falme za kiarabu alipata tena route ya wapi?kweli mwanamke siyo kiumbe cha kukiamini.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
Asante sana kwa taarifa, tunafuatilia
P
 
Umma ukadanganywa kua kasitisha ziara ili awahi janga la Kateshi.

Siku 4 baadae ndio anarejea nchini!!

Yule mwingine ambae anaficha mvi zisionekane hata moja,akaibuka kudanganya kua Makamo yupo kazini!!

Mtu ambae anaficha hata mvi zake,ndio anaweza kuongea ukweli?!! Kasahau kwa Magufuli pia alitolewa chambo adanganye,huku Mama akiwa ziarani mkoani Tanga na hatimae kikaumana nusu mlingoti!!
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom