Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za ongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam leo tarehe 03 Januari, 2023




Rais Samia Suluhu Hassan amesema: “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala kuhusu ofisi zetu za Kibalozi zilizopo Nchi mbalimbali, Serikali inafanyia kazi kasoro zilizoelezwa ili kurudisha hadi ya balozi zetu.

Nimefanya mabadili katika ofisi ya Ubalozi iliyopo New York, ofisi hii ni muhimu kwa kuwa ndio inatuwakilisha katika mambo yanayojadiliwa na mataifa na taasisi za kimataifa zilizopo Umoja wa Mataifa Mjini New York.

"Ofisi yetu hiyo inahitaji mwanadiplomasia mahiri anayejua siasa za kimataifa, mzalendo kwa nchi yake na mtulivu wa hekima na busara.

"Hivyo nimeamua kumrudisha nyumbani Prof. Kennedy Gaston aliyeko Ofisi ya New York na kumpeleka Hussein Othman Kattanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi"

Ukweli ni kuwa rais samiha anacheza mziki mnzuri sana atakula hela na misaada hadi atachoka wazungu wanaheshimu sana nchi zinazosikiliza maoni ya Bunge na maoni ya wapinzani..

Tanzania tutegemee neema.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za ongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam leo tarehe 03 Januari, 2023

Mwezi Novemba 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kuhusu matumizi ya fedha na madaraka katika ofisi za kibalozi zilizoko nchi mbali ulimwenguni. Kutokana na hilo serikali inafanyia kazi kasoro zilizoletwa ili kurudisha hadhi za balozi zetu.

Mabadiliko hayo ni;
Mabadiliko katika Ofisi ya Ubalozi New York ambayo inakuwa na mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Taifa.



Sawa Tu
 
Nasikia sauti za tausi kwa mbali kwenye clip hii. Vitu natamani kwa TISS ni ujasusi wa kiuchumi na mfumo mpya wa recruitment. Hayo mengine ni kazi za kawaida zinazofanywa kila siku
Nitalifurahia sana hilo lakini bado nina mashaka nalo je tayari tumepevuka kufikia hapo?
 
mew mew mew mew.
images (20).jpeg
 
Back
Top Bottom