Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Leo kwenye mitandao kumesambaa habari za tukio la kigogo mmoja huko Mafia kubaka mtoto wa miaka 16.

At the same usiku huu imetoka press ya Zuhura Yunusu kwamba Mhe. Rais ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Huko Mafia....

Je, anahusika au alishiriki kuficha uovu?
Sawa
 
CC:Waziri Gwajima
Tungependa Kuona Sana Sana Comment Yako Chap Na Kauli Ya Serikali
Waziri Gwajima hawezi kutia mguu hapa....

Wala RPC, wala DPP, wala Waziri wa Mambo ya Ndani... wanasubiri kichaa kabaka kuku mpaka kamuua, mwalimu kabaka mtoto kwa pipi na soda, labda watatoa statement uchwara....

Eti serikali ina mkono mrefu, uko wapi ? Vi mamlaka vya kidikteta uchwara hivi, hawamuwezi hata mkurugenzi child rapist
 
Uchafu wote upo CCM
1713519841397.png
 
Wewe n
CCM inapokea zaidi ya 2B per month ruzuku, lakini ulivyo mjinga hujawahi huhoji zinaenda wapi? tuonyeshe mradi mpya ulioanzishwa na CCM tangu 2015
Wewe ni mjinga sana,yani umekaa hapo Mbezi Msumi unahisi nchi yote imelala,chadema inakalia kuandamanisha wehu wenzao,miradi mipya ni kama Ujenzi wa nyumba za wafanyakazi,
 
Back
Top Bottom