Akivunja baraza anaweza kujenga sebule?
Akivunja baraza anaweza kujenga sebule?
🤔🤔🤔🤔🤔🙄
Hii fasihi..iliyoenda shule...sipuka anaonjeshwa kimpumu ili alewe hatimae azimike? Kuelewa fasihi? Mimi sio mwanafasihi!!
Tulishauri mapema Sana,mwanzo anaingia alitakiwa hata kuvunja hata bunge nakuitisha uchaguzi upya hata migogoro ya akina Mdee yasingekuepo,Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.
Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.View attachment 2416036
Mama kastuka team msoga wanamzunguka,lolote linaweza tokeaHana uwezo wa kuvunja Baraza la Mawaziri kwasababu Mawaziri wengi ni Team Msoga.
Team Msoga ndio ilimsaidia sana kufika alipofika.
Hana mizizi iliyochimbia huku Tanganyika
Mwisho ni Mama,sifa kubwa za WaMama ni huruma,kulea,kubembeleza na kudekeza.
Makamba apewe uPMMzigo Makamba apigwe chini
Bashungwa ana lipi la ajabu?Litavunjwa kwa wengine ila sio Bashungwa, Nape, Makamba, Nchemba.
Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.
Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.View attachment 2416036
Kumbe..... Who outshone the master? Tell me who outshone the master?Hahaaa!! Two rules involves
Rule 1: Dont outshine the master!
RULE 2: Make sure you dont forget rule no 1
yawezekana anaomba baraka za CCM ili tukope zaidi kumalizia projects kubwa kubwa !! kwamba tusiogope madeni maana deni haliui wala halifungi mtu.Binafsi sitegemei kuona lolote la maana kutoka kwa huyu mama yetu..
Ni ile ileHistoria huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.
Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.View attachment 2416036